@TheChanzo Hiyo jumuiya ya maridhiano na amani iko wapi? Ilianzishwa na nani? Inafanya kazi kwa manufaa ya nani? Bajeti yako iko wapi? Wanaridhiana na nani? Au wanaongoza maridhiano kati ya nani na nani? Pls wenye uelewa wanisaidie hayo maswali.
@Jambotv_@HecheJohn Ndomaanake. Ukicheza na mkundu utakupaka mavi. Na ndo unavyofaniwa na kina CHADEMA. Inaonekana kinachokusumbua ni ubinafsi na njaa na kutumwa. Kubali kupokea matusi yote
@bonifacejoseph_ Mimi nikiangalia gazeti la @MwananchiNews na @Nipashetz kwa mbali inatosha. Mengine yote yanaandika kitu kimoja na kumtaja mama na Madeluu tu. Siku hizi hata Majira wamekuwa kama Jamvi la Habari.