Gentleman of all season, for all reason! Tanzanian boy,an ordinary person, living in this extraordinary world, happy and thankful for every blessing from GOD
@mkomwanassib_ Bro andika habari iliyokamilika... Andika kitu mtu akisoma anajua na anayejua kitu anachokiandika...sasa wewe hap umefanya fujo tuu habari inaleta maswali mengi sana kuliko kupata ujumbe.....
@kasesco_tz Milion 8 angenunua hisa za crdb 2021 hisa moja ilikuwa na thamani ya tsh 95 leo hisa moja inathamani ya 2430 imagine ingekuwa una sh ngap thamani ya hisa zako