@YusuphMbilinyi8 Vitabu Vitakatifu Vinatuonya Tusiwe Sehemu Ya Kuwacheka Wanaoteseka,Hata kama Wewe Mambo Yako Ni Mazuri Nafuu Ukae Kimya Tu.
Unapush # kuna watu vijijini huko wanachangia maji na Ng'omba na Tembo.
@Kiganyi_ Kichwa lazima Kiwake 💥Maana FAM anaenda Kushinda Na Chama Kinaenda Kufa.Mtikhani Kwake😂
CCM wana uwezo mkubwa Sana Yaani CDM imekuwa na Wala Rushwa.
@EngNyahucho@mchachu_@_zolendronic Nipo Babu sema nilipelekwa porini sana kuna muda simu unaipeleka chaji kijiji jirani kuirudia next day basi ni mtikhani kaka.
@YerickoNyerereT Kifo kilichokufa chama cha NCCR_Mageuzi ndio hicho hicho CHADEMA inaenda kufa.
Kinachoendelea Ndani Ya Chama Hata Kama ni Mazingaombwe Ama Mmelamba Asali,Wengi Wapiga Kura Wa Kawaida Tushakata Tamaa Tayari.Lindeni Chama Muendelee Kupata Ruzuku ila Sio Kushika Dola!
@Ntobi_@MohoniaJoseph11@TunduALissu Huenda Mimi Ndio Nina Utindio Wa Ubongo ila Kumwita Binadamu Mwenzio Chiba Kama Vile Alijitakia,Sijui Kama Ulifikiria Vizuri.
Siasa Zisitufanye Tuwaone Wenzetu Ni Takataka.
Hujafa Haujaumbika!Period!
@STwalbu78375@TheChanzo Kuungama ni kujutia ulichofanya na hutaki kurudia tena kufanya,Adhabu ya Duniani ni Ndogo kuliko Ya Milele. Kama Mkristo amefanya Makosa na Akajuta(Kuomba Kitubio_Maungamo)Yupo Tayari kwa chochote ili mradi nafsi Yake iwe huru hataangalia adhabu ya Duniani kwa makosa aliofanya.