@Bendone_23 Kujenga nyumba hiyo Dar es Salaam n bei nafuu kuliko Mkoani, ila kiwanja n jambo jingine. Gharama iliyowekwa hapo hata nusu ya gharama ya iyo nyumba ilipofikia haifiki (simple mathematics)
๐ฃ ICCCAD is proud to share that our director, Prof. @SaleemulHuq has been appointed as an external member of the United Nationโs new Scientific Advisory board!
Bw. Jacob Kanka kutoka @LSFTanzania , anasema "Tunapendekeza kuwe na mpangilio mzuri wa kuwajengea uwezo wanufaika kabla ya kupokea mikopo hiyo. Pia tunapendekeza vikundi viwe na malengo na wazo la biashara kabla ya kufika kupokea mikopo."
Picha ya pamoja katika mkutano wa wadau uliondaliwa na @ansafforum kwa kushiriakiana na @medadotorg na @finlandintanzania kukusanya mapendekezo kwa nia ya kuboresha programu ya Halmashauri, mikopo ya 10% ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu yatakayowasilishwa serikalini.
Leo katika mkutano ulioandaliwa na @ANSAFForum kwa kushirikiana na @FinnishEmbTZ na @medadotorg. Vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu wameunganana kuleta maoni na mapendekezo yenye tija katika kuboresha mfuko wa halmashauri ya mikopo ya asilimia 10.
Talking to education stakeholders @ya_wilaya @mvomerodc @gairodc2022 @morogoro_mc_customercare @morogoromc@kilosadc on safe and inclusive learning environment improve numeracy and literacy in more than 624 Primary Schools. @c_deftanzania
What a year for IIED's @SaleemulHuq!
He started with being awarded an OBE and has now been named one of @Nature's top 10 scientists of 2022 for his work on loss and damage --> https://t.co/Kq5ovAExkW