Leo, September 15 2020, mgombea mwenza wa urais wa JMT kupitia CHADEMA, Mhe. @salummwalimtz atafanya mikutano ya kampeni katika wilaya za Monduli, Karatu na Babati. Tunawakaribisha wakazi wa maeneo husika kuja kumsikiliza akinadi #ChademaIlani2020#UhuruHakiNaMaendeleoYaWatu
Na tena tumefanikiwa kumpata mgeni rasmi leo ktk mkutano wetu Kilombero stendi, nae ni Ephata Nanyaro diwani kata ya Levolosi
Wananchi wote mfike bila kukosa
A devout Muslim, Mh. Turky supplied me with hundreds of copies of the Holy Quran for free distribution amongst my Muslim constituents in Singida Mashariki. May he rest in eternal peace. Amen 🙏🏾.
#TunduLissu2020
Asubuhi ya leo Mgombea Urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Chama chetu, ndugu Maalim Seif Sharif Hamad amekutana na Wavuvi na Wakulima wa Mwani wa Kijiji cha Tumbe, Mkoa wa Kaskazini Pemba kusikiliza Changamoto zinazowakabili na kushauriana njia bora za kutatua Changamoto hizo.
Leo Jumanne Septemba 15: Mgombea Mwenza Urais wetu, Salum MWALIMU [ @salummwalimtz ] atafika; Monduli, Karatu na Babati kunadi sera na ilani yetu CHADEMA.
Oktoba 28 tumpe kura za NDIYO za kutosha. Tuchague wabunge na madiwani wa #CHADEMA#ChaguaLissu#ChaguaCHADEMA
Kwa Mustakabali wa Kesho njema ya Taifa Hili. Tuwe wepesi wa kusoma alama za nyakati ili kudumisha staha, undugu na urafiki bila mipaka ya Vyama Vyetu Vya siasa. Polisi wetu na Wasimamizi wa Uchaguzi. Hizi Ni Nyakati za kuliunganisha Taifa
Operesheni inayoendelea Jimbo la Tunduma na Jeshi la Polisi kukamata Wagombea wa@ChademaTz Ngazi ya Udiwani Waliopaswa Kuwa Wanaendelea na Kampeni na kukamata Viongozi wetu wa CHADEMA ili #CCM ipite bila kupingwa itavunja amani ya Tunduma. Cc @TumeYaUchaguzi
Mama yetu Conchester Rwamlaza ni miongoni mwa wagombea wetu ambao wameondolewa kihuni kugombea. Ccm hawapendi uchaguzi, baadae watajisifia eti wameshinda kwa asilimia sijui ngapi!! Shame
Devotha Minja (Chadema) rufaa yake imekubaliwa na hivyo amerejeshwa na @TumeUchaguziTZ kugombea Ubunge Jimbo la Morogoro mjini. Hakuna MaCCM kupita bila kupingwa. Wapiga kura wa Morogoro mjini watachagua wenyewe nani anafaa kuwa mbunge wao. Nguvu ya mashangazi. ✌️
"Kwa niaba ya timu ya kampeni natuma salamu za Rambirambi na pole Kwa wazazi, walezi na ndugu wa vijana kumi waliofariki kwenye ajali ya moto Kagera, pia nawatakia afya njema vijana wengine waliopo hospitalini, vyombo vinavyohusika tunaviomba vichunguze tukio hili”-Tundu Lissu
Msimamizi wa uchaguzi Iramba amemzuia mgombea wa @ChademaTz@JKISHOA asiendelee na kampeni akisema hajapata barua ya kumtambulisha kama mgombea kutoka @TumeUchaguziTZ. Hofu ya nini? @mwigulunchemba1 anamuogopa Jesca? Si mnakubalika? Si mmetupeleka uchumi wa kati? Uoga wa nini?
Tundu Lissu (Makambako): Ukienda Mpanda kuna Uwanja wa Ndege, ulijengwa kwasababu Mizengo Pinda alikuwa Waziri Mkuu
> Sasa sio Waziri Mkuu anaishi Zuzu Dodoma, Uwanja wa Ndege wa Mpanda watu wanalishia Mbuzi na Ng'ombe
#Uchaguzi2020
Leo, tarehe 15 September 2020, mgombea urais wa JMT kupitia CHADEMA, Mhe. @TunduALissu atafanya mikutano ya kampeni katika wilaya za Njombe, Mbarali, Rungwe, Kyela na Mbeya. Tunawakaribisha wakazi wote wa wilaya husika kuja kumsikiliza akinadi #ChademaIlani2020#TunduLissu2020
Kwa niaba ya timu ya kampeni @chadematz natuma salamu za rambirambi na pole kwa wazazi, walezi, ndugu na jamaa wa wanafunzi waliopoteza uhai kwenye ajali ya moto shuleni Kagera. Pia nawaombea afya njema wote waliopo hospitalini kwa majeraha 🙏🏾.
Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma inataka viongozi wote wa Umma kutenganisha maslahi yao binafsi na maslahi ya Umma. Rais ni Kiongozi No. 1 wa Umma. Uwanja wa Ndege wa #Chato ni mfano hai wa matumizi mabaya ya mamlaka. Umejengwa kwa faida ya nani??
#SasaBasi#TunduLissu2020
Leo tarehe 15/9/2020,nitahutubia wakazi wa Arusha stendi ya Hiace Kilombero Sokoni.Mkutano ni saa nane mchana.Hakuna muziki wala nauli na unapaswa kufika bila kukosa.Karibuni wote
I'm immensely saddened by news of the passing of Hon. Salim Turky, formerly MP for Mpendae, Zanzibar. I had the privilege of serving with him during my time in parliament. Mh. Turky was a very good and generous man. May he rest in eternal peace. Amen 🙏🏾.
#TunduLissu2020