Applications are now open for the eighth cohort of our Postgraduate Diploma in Leadership, offered in partnership with @AaltoEE
Read more about the programme and apply: https://t.co/RHOTb8cFIm
#PGD#Leadership4SDGs#Tanzania#Africa
🚨SIMBA WAMEGONGA MWAMBA|• Simba ombi lao la kwenda kucheza katika uwanja wa Amani Complex imeshindikana baada ya mechi yao ya FA kuchezwa katika Dimba la Chamazi dhidi ya timu ya Tembo FC ambalo pia Yanga hutumia mara kwa mara !!....
🚨 JUST IN: #mufc statement on Marcus Rashford: “Marcus Rashford not well enough to be in the squad for Newport following illness; he has stayed at Carrington to train as he recovers.”
🔵 Pep: "Klopp leaving? I will sleep better! The day before playing Liverpool, it was always a nightmare".
"The best rival I have ever had in my life. I wish him all the very best. He will be back, I'm sure".
Watu watatu wamefariki Dunia kufuatia ajali ya Gari iliyohusisha gari aina ya Toyota Hillux Double Cabin yenye namba za usajili Sm 14438 kugongana na gari namba T 265 DWP Faw lenye trela no t654 mali ya Kampuni ya Felix, katika eneo la kijiji cha Mkwajuni kata ya Kitomanga barabara kuu ya Kitomanga Lindi
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi John Makuri kwa waandishi wa habari, amesema ajali hiyo imetokea jana majira ya saa mbili usiku ambapo gari ya Toyota Hilux ilikuwa ikitokea Lindi kuelekea Kiranjeranje
Amesema chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa Dereva wa gari ya Toyota Hiilux kuhama upande wake wa uendeshaji kushoto na kuhamia kulia ndipo alikutana na lori faw likija upande wa kulia na kugongana
Aliwataja watu waliofaliki kuwa ni Ally Mwalimba (30) Dereva wa gari Toyota Hillux mkazi wa Kilwa Masoko, Tumaini Mbando (33) Mtumishi ofisi ya Kamishna wa Ardhi mkoa wa Lindi na Farida Mualaga (20) mkazi wa Masasi.
#KitengeUpdates
Makamu Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Bara, Ndugu @SemuDorothy kesho Januari 12, 2024 atakuwa mgeni rasmi kwenye Mkutano Mkuu wa ACT Mkoa wa Tanga. Mkutano huo utachagua na kukamilisha safu ya uongozi mkoa wa Tanga.
#TaifaLaWote#MaslahiYaWote