Kuna muda utapiga faida kubwa
Kuna muda utapiga faida ndogo
Kuna muda hutopiga faida kabisa
Kuna muda utapiga hasara kubwa
Kuna muda utapiga hasara ndogo
Ukiamua kuwa mfanyabiashara kubali kupitia hii misimu, ndio inafanya biashara iwe tamu zaidi.
Ofisi ya Rais- TAMISEMI imezitaka halmashauri zote nchini kuwasilisha orodha ya madaktari ambao waliajiriwa na serikali kisha wakaacha kazi au kuhamia sekta binafsi kuanzia Julai 2015 hadi Januari 2021. Halmashauri zimetakiwa kutuma orodha hiyo kabla ya Februari 15, 2021.
Isiwe Tamaa wala woga wala namna yoyote katika maisha iyumbishe Hadhi yako.
Kama umeamini tamaduni ya mahali ulipo basi amini na kuilinda.
Ikitokea umeyumba kwa namna yoyote basi unashusha Hadhi yako.
Linda Hadhi yako🎯
Vijana wa 20’s wako na stress sana za maisha. Slow down guys. Trust the process. Haujachelewa kitu chochote. Tumia muda wako kujifunza, jenga network/connection yako.
@Sirjeff_D Tatizo unajiona mwamba sana, ungekua level za kina Mo ungetunyea kichwani wewe, juz utake followers leo huwataki, acha ku complicate maisha, tatzo unaleta maneno yako afu unataka watu wakuabudu na kuksikiliza tu, mtu aki ku challenge kosa, we ni Nani akati hata torati inavunjwa🚮

..Nahisi kuna Wabunge waliopita waliufanya ubunge uonekane kazi rahisi kiasi kwamba idadi ya watia nia na wachukua fomu imekuwa kubwa...Kila mtu anajiona anaweza...😀😀😀
Sijui km nimegusia kila kitu, km kuna chochote nimesahau kuna watu humu pia wanaijua katani wataeleza, pia unaweza kuuliza swali, nikipata muda nitajibu au nitaongeza nyama kwenye YouTube video zinazopandishaga kwa channel yng.
Have a blessed week!