Hafla fupi baada ya Mh Askofu Josephat Gwajima kuapishwa jana, viongozi wa dini , madiwani na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi walimtakia Mbunge wa Jimbo la Kawe heri na baraka zote.
@Ben_Ndaki @kigogo2014 Maneno ya mkosaji. Mwambieni dada yenu kokote alipo dora inamsaka. Apambane na polisi vizuri wakati huu Kawe mpya na Gwajima inawezekan.