@MariaSTsehai Kwahyo nadhani wameamua kujipambania maslahi yao. Kama mtu aliuza uzao wa kwanza kwa chakula hawa siwashangai.Upinzani ni imani ambayo mtu anayo ndani, waache waende sisi bado tupo sana. Kichwani inanijia picha fulani ameshikilia kura za wizi anaonyesha. Lakini Leo anatafuta haki
@kigogo2014 Harufu ya kunguni waliosagwa sipati picha inakuwaje.
๐๐๐ Ila @kigogo2014 wanaweza kugawana nyama wakikukamata.
Alisikika jamaa mmoja kuwa ndani ya siku 14 atakuwa amekamatwa