Kitu cha kwanza ukifika kwenye Hotel room, Public restroom, Airbnb
Angalia kama kuna Hidden cameras, vinakuwa vi-camera vidogo vimefungwa kwenye chumba.
Camera ndogo hufungwa sehemu zenye vitu kama saa, smoke detector, taa, kioo, sehemu ya kucharge, urembo ukutani.
Thread 👇
@azamtvtz kamera mliyotuwekea kwenye hii mechi kati ya @SimbaSCTanzania dhidi ya @kagerasugarfc tunaomba tuibadilishie nafasi, maana kamera inachukua horizontal hamna raha ya kuangalia mchezo