Haya Tanzania Leaf Tobacco Co Ltd - Morogoro wanafunga kiwanda na watu wamelundikana kununua magari yanauzwa! Kweli uchumi wa viwanda unakua sana.. Sisi tushajichagulia letu kesho tunarudi nalo jijini tukimaliza kulipa NBC Wami Branch ๐๐
Kuhusu AFCON: Lazima tupambane, wewe utabaki kuwa Sadio Mane, utaondoka kwenda Liverpool na mimi nitakwenda Lipuli lakini tukiwa uwanjani lolote linaweza kutokea, kabla mechi haijaanza lazima tuamini hata kama wametuzidi position, tunaweza kuwafunga. - Mbwana Samatta. #255GRadio.
Hivi ndivyo TCRA walivyokaa kwenye kikao chao cha mwisho na kukubaliana watusajilishe upya line zetu za simu kwakutumia kitambulisho cha utaifa huku wakijua vitambulisho hivyo hata nusu ya watanzania wote hatuanvyo!!
Nijaposema kwa lugha za wanadamu na za malaika, kama sina upendo, nimekuwa shaba iliayo na upatu uvumao. Tena nijapokuwa na unabii, na kujua siri & maarifa yote, nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima, kama sina upendo, si kitu mimi. - 1 Wakorintho 13: 1-2
@mkandamizaji Hatuwezi kuepuka dhambi tukipoteza upendo.Upendo ukitoweka maovu hujitimiliza kwa kuuana,kuibiana,kuthulumiana,kusalitiana,kuharibiana kazi&maisha na kuombeana mabaya.Mungu atujalie roho za upendo kwa damu ya yesu aliesuribiwa msalabani siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita.๐
Endelea kuisema vibaya Tanzania mwisho wa siku sisi tunabaki na nchi yetu,team yetu&mawingu yetu ya mvua na nyinyi mtabaki na nchi yenu,team yenu&ukame wakutokunyeshewa mvua mpaka mkufe Taifa zima kwa njaa.Labda mjiongeze mtuachie tuwafunge ili na sisi tuwagawie mawingu ya mvua!
Mopao leo uwe MAZEMBE au wewe mwenyewe uwe MZEMBE bado kichapo kipo pale pale sisi @SimbaSCTanzania ushindi ni wetu, Kanda da ni letu na nusu fainal ni yetu.
Mungu ibariki Simba sports club.
#SimbaNguvuMoja#YesWeCan....... Simba 1-Mazembe 0
SUDANI: Waziri wa Ulinzi, Awad Ibn Aouf ametangaza kujiuzulu nafasi ya uongozi wa Serikali ya Mpito
> Jeshi lilitangaza kuunda Serikali ya mpito baada ya kumpindua Rais Omar al-Bashir
> Msaidizi wake amechukumua jukumu hilo
#SudanUprising
Kila lakheri Chama langu leo kwenye kumshangaza Tshisekedi ndani ya nchi yake kwenye mji wa Lubumbashi kuwa wa Tanzania na timu yetu ya simba ni moto wa kuotea mbali.
โฝMungu ibariki Simba sports club tukapate ushindi
โฝMungu ibariki Tanzania yetu
โฝ #SimbaNguvuMoja#YesWeCan
Rais wa DR Congo, Mhe. Felix Tshisekedi leo atakuwepo uwanjani (Stade TP Mazembe) kuangalia mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambao tunacheza na TP Mazembe.