Bado siku 9 tufunge Domo la Ndama, tutapiga kwenye mshono ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ kibaraka @TunduALissu na kick zako za ushoga na huyo hawara yako Ponda na udini wenu, jiandaeni kisaikolojia
Kachero mbobezi @BenMembe@BernardMembe ulijifanya mjanja ukawa na vijineno mara niguse ninuke, mara manogeshaji, sasa umeguswa kweli na mturutumbi, mnafiki na mzandiki YUDA Zitto Kabwe, umeguswa na unanuka, pole sana. Endelea na kampeni Rais wa tarafa ya LONDO
#niguseninuke ๐คฃ๐คฃ
Naomba niwaulize @tanpol na vyombo vya dola huyu Mlinzi wa @TunduALissu amebeba Silaha Gani? Je ni wahalifu wangapi wanamiliki silaha hizi na zimeruhusiwa kupitia mpaka gani na kama zinatengenezwa hapa nchini huyu Mtalaam yuko wapi na amepewa leseni ya kutengeneza?
Nawapongeza Walimu wenzangu wa madaraja yote kwa kuadhimisha siku ya Walimu Duniani. Serikali inatambua mchango wenu mkubwa kwa Taifa na itaendelea kuboresha maslahi na mazingira yenu ya kazi. Endeleeni kuchapa kazi. Tulianza pamoja, tutamaliza pamoja.
:
Mwl. John Pombe Magufuli.
Naitwa John Pombe Joseph Magufuli, mgombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ewe Mtanzania mwenzangu, naomba kura yako ya ndio tarehe 28/10/2020. Chagua Magufuli kwa maendeleo ya kweli ili tuendelee kujenga Tanzania mpya. Asante.
@TunduALissu@TumeUchaguziTZ Wewe nyumbu kiwete wa miguu na akili haujui huyo ni Rais...? Unaacha kufanya kampeni zako unakaa kufuatilia mambo ya Rais..?
Mropokaji @TunduALissu kibaraka wa wazungu mwaka huu hataamini macho yake na hao wazungu wanaomtumia, hapo anahutubia mamia ya nyumbu na misukule wa @freemanmbowetz, @ChademaTz SACCOS inakufa.
Huyu kibaraka wa wazungu @TunduALissu inabidi tumpe fundisho mpaka akawahadithie bwana zake wanaomtuma wakizani amani yetu ni ya gharama ndogo, aropoke tu lakini watanzania wanajua pumba na mchele.
Nawashukuru wana CCM wote na Watanzania wa vyama vyote kwa kujitokeza katika uzinduzi wa kampeni za CCM 2020 Jijini Dodoma. Pia nawashukuru wasanii, waandishi wa habari, viongozi wa Dini, n.k waliojitokeza kuniunga mkono katika uzinduzi huu. Maendeleo hayana chama. Tanzania Hoyee