HUWEZI kuwazuia MABALOZI kwenda kusikiliza KESI yakuchongwa mliolbakiza FREEMAN Kwa kigezo cha CORONA wakati unawapongeza watanzania wano kusyika usiku wa manane
“Ushauri wangu kwako,usirithi adui wa mtu,tengeneza adui wako. Na ushauri wangu kwako ni kuwa hunasababu ya kutengeneza adui, ni jambo ambalo halina tija. Mchekulie Kila mtu vile alivyo” Jakaya Kikwete
Kesho tar. 9.8.2021 saa 8:00 mchana shauli la Kupinga kesi ya UGAIDI ya Mh. Freeman Mbowe, litaanza kusikilizwa mahakama kuu ya Dar es salaam, wapenda haki wote tukutane Mahakamani.
#retweet kuunga mkono Mapambano haya ya haki.
Muda tu baada ya kumkamata Mbowe nilisema hapa Samia Suluhu atakamata na kuwafunga watu wengi.
Nilikuwa sahihi dhidi ya Magufuli.
Nilikosea kumsoma SSH mwanzo kwa sababu nilipofuka kwa cultural biases, lakini HULKA ya RAIS haifichiki.
Kilichomkuta Peter Kibatala leo Kisutu kilinikuta 2017 nilivyokuwa namtetea Tundu Lissu.
This is what happened to me in 2017 when leaving court after representing Tundu Lissu.
I was assaulted by the Tanzania police force for DOING MY JOB.
@L4L_INT
She's in police jail for two weeks now for trying to organize a press conference to discuss the illegal imprisonment of her party Chairman. Neema's a living proof that President Samia wasn't joking when she told Tanzania Parliament she & the late Magufuli were one the same thing!
MISC. CIVIL CAUSE No. 21/2021. Kesi ambayo @freemanmbowetz amefungua dhidi ya DPP na IGP mahakama kuu leo. Na siku ya Jumatatu, 09.08.2021 itatajwa mbele ya jopo la Majaji watatu wa mahakama kuu.
🆘#Tanzania
Police have detained Secretary General of Women Wing @ChademaTz@CatherineRuge and former MP and senior leader @Susan_Kiwanga outside the Kisutu court area this morning! They had gone to attend the case of their Chair @freemanmbowetz
We are officially a POLICE state
Tanzanian Chair of @ChademaTz‘s women‘s wing Temeke region Neema Mwakipesile was arrested without charges, tortured and is being denied an access to a lawyer. We demand the immediate release of Neema and the stop of human rights violations in #Tanzania. #FreeNeemaMwakipesile 🇹🇿
Tanzanian police dispersed a protest outside a Dar es Salaam court where detained opposition leader Freeman Mbowe was scheduled to appear on terrorism-related charges but the trial was postponed after technical difficulties