@bakarijb01 @Wakazi Watu hawamsikilizi vizuri @Wakazi nahisi.. Ni master wa word plays ila nadhani labda wasikilizaji kizungu ndo shida kwao.. Bilingual Beast all the way up dawg
@MwanaFA Nahisi bado ni kuendelea kuukwepa ukweli kuwa hatujafanya juhudi za kutosha kwenye uwekezaji wa Soka. Tusikimbilie matunda kama hatutaki kupanda miti yake. Tutamfukuza Amunike na hata mwingine atakayekuja. Makosa sio yao ni mfumo wetu wa kupata wanasoka mahiri kutusaidia.
@jokateM Happy birthday Mh. 'Joro'.. Hope u grown up enough now to accept the nick name.. Wishing many years of success.. Kisarawe ushaizidi sasa uje Geita
@PatiencePB1 Jina kamili kabisa la hiyo sehemu kwenye picha ni Kabuhara Beach. Ni sahihi kuiita Maruku beach pia kwani hilo ndilo lililokuwa jina maarufu kabla ya huyo mwekezaji. Maruku beach ni kubwa sana sema sehemu iliyowekezwa no ndogo mno.
Wale wenye uwezo karibuni sana kuwekeza Bukoba