Happy Birthday to H.E The Vice President of Our Beloved Nation. Mwenyezi Mungu akujalie kheri na Afya njema sana unapoendelea kuchapa kazi. Happy Birthday to you Sir
Mihongoni mwa watu wanao kukubali hapa nyumbani ikiwemo Mimi ila kwa hii ya leo kumsema marehem tena kwa usariti(Maana umemkana mbele za umma) Umezingua kiukweli. Tuombe @SuluhuSamia@ChademaTz@ACTwazalendo@ccm_tanzania
Sasa Mama kama ilikuwa ngum kwanini usingejiudhuru tu? Hapa unatudanganya sana kwa upande fulani ni kweli maana hela zetu za korosho tulisumbuliwa sana kama yeye ndo alilima ila ungejiudhuru Mamaa @ACTwazalendo@SuluhuSamia@bunge_tz@Chahali@ChademaTz