Kwa alicho kifanya huyu jamaa, anapaswa kufungiwa kushiriki shughuliza mpira for Life hapa Tanzania. Kwa taharuki na hasara aliyo sababishia soka la Tanzania jana. And we must stop praising leaders of this kind(low IQ).
Mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba, Crescentius Magori amesema Simba haitoshiriki mechi yoyote ya Ligi mpaka waliohusika na tukio la wao kushindwa kuingia uwanja na kufanya mazoezi ya mwisho waadhibiwe.
“Siyo mechi ya kesho tu (leo) hatuchezi Ligi mpaka hawa wapuuzi walishiriki kwenye huu upuuzi waadhibiwe”
Kauli hii imetoka baada ya Simba SC kutangaza kutoshiriki mchezo wa Ligi Kuu NBC dhidi ya Yanga SC kutokana na kile ilichodai ukiukwaji wa taratibu na vurugu zilizotokea kabla ya mechi.
#HABARI Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina Elia John ambaye ni mkazi wa Igurusi katika wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya amejikuta akipitia kipindi kigumu kwenye safari yake ya mahusiano kwa kunyanyasika, kuambulia vipigo, kutelekezewa familia na hata kunyimwa tendo la ndoa
Bw. Elia John (48) anadai kuwa mke wake amekuwa akimsaliti kwa kipindi cha miaka tisa sasa baada tu ya kumfungulia biashara ambayo ni duka la vinywaji na kwamba mwenza wake huyo alipoanza kushika fedha ndipo dharau na manyanyaso yalipoanza na kwamba kipigo ilikuwa ni kama haki yake.
Hata hivyo, Victoria Nsemwa (34) Mkazi wa Kijiji cha Luanyo Wilaya ya Mbarali ambaye anatambulika kama mwenza wake John ameedai ziko sababu nyingi zinazomfanya amyime tendo la ndoa baba wa watoto wake ikiwemo kuwa mvivu wa kufanya kazi.
"Siyo kwamba nilipenda kumuacha ila kwa vitendo alivyokuwa ananifanyia wakati naumwa, huyo ni mume wangu, mzazi mwenzangu, kwa kweli ni mvivu kufanya kazi " amenukuliwa Victoria Nsemwa akieleza sababu za kumyima teno la ndoa mwenza wake. #EastAfricaTV
Safari yetu ya mashindano ya Kimataifa imefikia tamati. Shukrani kwa Wachezaji wetu, Benchi la Ufundi, Viongozi, Wanachama na Mashabiki wetu wote kwa kuwa nasi kwenye kipindi chote cha mashindano haya.
𝐖𝐄 𝐖𝐈𝐋𝐋 𝐁𝐄 𝐁𝐀𝐂𝐊🔰 #TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko
“HOPE does not deny the EVIL, but is a RESPONSE.”
As Daktari #JaneGoodall turns 90 today; we should all celebrate beyond doing #GoodAllDay hashtag by arrogating her INQUISITIVENESS, INTREPIDITY & profound RESPECT for all living beings.
#JaneAt90@JaneGoodallInst.
@GeorgeJob14@Makaveli_255@MsigwaGerson Bwana mchaambuzi muongezee sababu ya ziada ni Security. Kila mtu aingie namaviminika mkienda kudhuru watu humo? Sababu kuu ni kulinda watu wengi waliokusanyika sehemu moja.
Kinacho umiza zaidi, generation yetu tuliopaswa kuwaongoza hawa madogo chawa wa generation mtiririko, ndio kwaanza tuna watumia kama mtaji kwa mdaha megi.
Ma-Adui wa nchi yetu bado ni wale wale watatu,
1. Umasikini
2. Ujinga
3. Maradhi.
Kwa siku za karibuni wameongezeka wengine watatu
1. Uchawa
2. Ulimbukeni
3. Ushamba.
Hawa watatu walio ongezeka wanaweza kusambaratishwa haraka ili turudi kwenye maadui wa msingi.
#Elimu