DAR: Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (#CHADEMA), Dkt. Rugemeleza Nshala amesema hayo leo Mei 5, 2026, alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari, akichambua Ripoti ya Jaji Chande iliyochunguza matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Soma zaidi https://t.co/ctKBeiiVFd
#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala #Sheria
Hey @didierdrogba
Are you aware that you are being used to whitewash an illegitimate murderous regime in #Tanzania ? What are you doing?
Visit https://t.co/zVK6vm17wV
Makonda was blacklisted by @StateDept for grave violations of human rights and you are hobknobbing with him?
You built an image of fighting for peace and human rights yet here you are washing clean oppressors! You are part of the problem not the solution!
We shall not forget! #TanzaniaMassacre
Huyu Drogba naye atuondolee unafiki wake! Kama hajui kulikuwa na mauaji jaeni kwenye page zake mwonyesheni mauaji waliofanya hawa maharamia!
#SamiaMustGo
Hapa akuna tofauti na kuanda mtihani ukaufanya mwenyewe na ukaenda kujisahisha mwenyewe. Niaibu kubwa sana na kuonyesha dunia nijisigani Tanzania inatawaliwa na wakoloni weusi.
DAR: Rais Samia amezungumzia Ripoti aliyokabidhiwa na Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025 akisema ni ya Rais na hatakiwi kujitokeza Mtu mwingine kuiomba.
Zaidi https://t.co/CLRgOA714Y
#JamiiForums #Governance #Uwajibikaji
Usipotuambia ni nani:
1. Alitoa amri ya kutumia risasi za moto kuuwa Watanzania?
2. Maiti zilitupwa wapi?
3. Wanaoitwa waandamanaji toka nje ni wa wapi? walilipwa na nani kiasi gani?
4. Amri ya kutotembea ilitolewa kwa mamlaka gani muda ulitosha?
5. Nani alitoa amri watu
Hawa waandishi wa habari kama wangekuwa wanachapisha habari za shida za wananchi kama wanavyo post picha za watu walio huzuria kumbukizi za kifo cha magufu huko chato nazani 100m zingepelekwa kutatua matatizo zaidi na sio kutengeneza makumbusho inihali makumbusho hipo.
Yani kweli unaweza kutoa hela kwaajili ya makumbusho naakati wananchi wako wanashida ya maji pamoja na umeme
Lakini kuna makumbusho ya Taifa si ukumbusho wake ukawekwe kwenye makumbusho ya taifa
Akihojiwa katika Kipindi cha Clouds360 cha Clouds TV, Mhandisi Aron Joseph, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dodoma amesema kama Mtu amechimba kisima cha maji kwenye eneo la huduma ambalo tayari miundombinu yao ya maji ipo anasisitizwa atumie yeye na familia yake, asitoe huduma kwa wengine.
Anasema, "Sababu ni kwamba kama Wananchi wanaokuzunguka unataka uwapatie maji labda siku ambazo kuna mgao, huwa haturuhusu hilo kwa sababu walio wengi wenye visima huwa hawapimi ubora wa Maji na maji ya chini ya ardhi yanabadilika sifa zake kila siku."
Ameongeza, "Leo mazuri kesho yanabadilika au choo cha jirani kimetiririsha kwenye kisima, ukianza kusambaza kwa Watu unaweza kushangaa unaua Watu Mtaa mzima".
Aidha amesema mtu binafsi anaruhusiwa kwenda kutoa huduma ya maji kwenye eneo lao la huduma kwa makubaliano maalum, ambapo atapewa utaratibu wa kufuata.
Mjadala zaidi https://t.co/v3m4Kt4NhR
#JamiiForums #JFHuduma #JFAccountability #PublicHealth
Walisema kuna shida ya mvua sahivi mvua inanyesha lakini umeme unakatwa na maji pia hatupati,
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni tu.
HAKUNA NCHI YENYE RASILIMALI NYINGI KAMA TANZANIA LAKINI WANANCHI WAKE WANATESEKA KANA KWAMBA TUNAISHI JANGWANI VILE.
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kenani Kihongosi amesema kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) ni Muumini wa Demokrasia hivyo inaheshimu maamuzi ya Tume ya Uchaguzi na kusisitiza kuwa kama kuna yeyote ambaye hajaridhika na maamuzi ya Tume anaruhusiwa kwenda Mahakamani na kufungua mapingamizi kwani Nchi hii inaongozwa na mihimili mitatu Serikali, Bunge na Mahakama.
Kihingosi ameyasema hayo hii leo Februari 19, 2026 wakati akiwa katika ziara ya kikazi katika Kijiji cha Kidahwe Mkoani Kigoma ambapo amesisitiza kuwa Chama cha Mapinduzi ndio Muanzilishi wa Vyama vingi hivyo ni lazima Watu wafahamu kuwa kuna kushinda na kushindwa kwahivyo kusiwepo na makundi yanayoweza kujiona ni makubwa kuliko Tume ya uchaguzi.
"Kwakua sisi ndio tuliruhusu mfumo wa Vyama vingi lazima tujue kuna kushinda na kushindwa kwahiyo niombe kusiwe na makundi na magenge, kusiwe na Watu wanaotaka kujipa ukubwa kuliko maamuzi ya Tume ya uchaguzi, ndio maana tunasema ndani ya Chama hakuna alie mkubwa kuliko Chama" - Kihongosi. #MillardAyoUPDATES