Jeshini usipotandika kitanda asubuhi ni kosa kubwa sana. Utapigwa doso kali hadi hata Vasco Da Gama.
JKT nilikuwa nawaona majamaa miyeyusho sana kwa kufuatilia vitu vidogo vidogo kama kutandika kitanda.
Lakini sasa hivi nimeelewa kuwa haikuwa tu kutandika kitanda bali ilikuwa NIDHAMU ya kuanza siku kwa utaratibu, mpangilio na ushindi.