Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Queen Sendiga na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe wamekubaliana kufanya siasa za utulivu mkoani humo, na kila upande ufuate sheria. Wamekubaliana hayo wakati Mbowe alipofika ofisini kwake kusalimia.
Upole haukupunguzii sifa yako ya kuwa Kiongozi imara na shupavu, badala yake hukuongezea upendo na imani kwa watu unaowaongoza”
“Ukuaji ni nini? Ukuaji ni kuacha kuuliza ‘Ni nani ataniwezesha au kunipa nafasi?’ na kuanza kuuliza ‘Ni nini kinanikwamisha kuipata ile nafasi
To be apposer not mean to be against each and everything........sometimes you have to say your opinions.....views......ideas......and other names related to.
#uae#dubai#tanzania.
"Nafasi ya mwanaume kama kichwa cha familia iko palepale haina mabadiliko, haiwezi kubadilika yeye ni kichwa cha nyumba na atabaki kuwa kichwa cha nyumba,"- Aunt Sadaka, Mshauri wa Mahusiano
@supabreakfast