Miongoni mwa viongozi ambao kwa sasa wana speech bora kabisa ni pamoja na Doto Biteko. Mwandishi wa hotuba zake pamoja na yeye mwenyewe wako vizuri sana katika eneo hilo. Msikilize hapa.
Sijui ni mimi tu ila siku hizi nazikimbia video za @millardayo I got so upset unaangalia kitu halafu tangazo linakuja katikati. Itβs unfair kutusukumizia matangazo mpaka kwa nguvu kiasi hiki. I hope watatafuta njia bora zaidi ya kufanya matangazo hii ya sasa kwangu ni hapana
Hongera sana Mhe @AdvMahinyila Kwa Kuchaguliwa Kuwa Mwenyekiti Wa @bavicha_taifa
Hongera Pia Makamu Mkt Tanganyika @NectoKitiga Home Boy
Hongera Viongozi wote wa Bavicha Taifa waliochaguliwa leo
Iβm Proud Of You All Kwa Sababu nina Masilahi na Baraza la Vijana As Senior Leader
Viongozi Wapya Unanisheni Baraza Lenu Na Kila Kijana Aweze Ku-Feel kwamba Baraza hili ni lenu Wote.
Nawatakia Uchaguzi Mwema wa Viongozi wa Kuu wa Secretariat ya Bavicha Taifa.