If we don't change, we don't grow. If we don't grow, we are not really living. Growth demands a temporary surrender of security. It may mean a giving up of familiar but limiting patterns, safe but unrewarding work, values no longer believed in, relationship that has lost meaning.
@Rydx_017 Mzee hizi gharama ulizotumia kwenye nyumba ya kupanga una mkataba wa miongo mingapi kukaa hapo? Au mwenye nyumba atakukata kwenye Kodi Yako?.
Nawaza hizo hela ungekuwa umepanga nyumba yenye quality Kali mno na yenye uwakika. Sema unyama mwanetu kila mtu ana mipango yake duniani
@Sisimizi3 Boss macho yangu yanaona matikiti maji, au labda ni wakati sasa nifikirie kulima kilimo hicho pengine nitatoboa huko. Huwezi amini hapo nimeona hekari na nusu
@EngMapundajr Usitegemee kwa hofu ilivyotanda kila pahala kupata wanafunz wenye uwezo wa kuchambua mambo. Labda mambo ya mpir tu, lakn hayo mengine hata wazazi wanatusisitiza tujifanye wapumbavu Ili tuishi miaka mingi kwa mateso. Sasa imagine mwanafunzi aanze kuhoji contemporary issues🤣 #gaid