@kitilam@drmwarsame Kwa nini mfumo wa English medium usipelekwe primary badala ya kupeleka kiswahili medium katika public schools na universities?? Ninachojua ukipeleka swahili medium ktk public schools wale wa private hawatakubali kwa sababu ya uhuria hivyo English for private na swahili for public
@HusseinBashe@jmkikwete Kuna wakati wa JK bei ya kahawa ilifikia 2,600 kwa wilaya ya karagwe ila ikashushwa hadi 1100/= daaaah mpaka inauma, tatizo ni nini???
@HusseinBashe@jmkikwete Tunakuomba @HusseinBashe uitazame kahawa ya mkoa wa Kagera, kuwe na uhuru wa ile biashara siyo kuwalazimisha private investors kununua kwa bei inayoendana na ushirika. Waganda huwa wanakuja na bei mara 2 ya ile ya KDCU kwani wao wanauza soko la dunia gan??