@king__of_peace@JayleenRickie Ndugu Mkoa wa IRINGA yapo mengi sana Ukipita na GARI msimu wake wanauza mpka Barabarani
Ukila sana Yanaziba Choo ππ
@mangekimambi Abdul ni muislam anaruhusiwa kuoa wake wa Nne ____βοΈ
Hivyo sijaona kosa la abdul ,
Kuhusu mama kumpenda mwanae mbona ata mm mama angu ananipenda..!!
Nikitaka ela ananipa asa kuna tatizo???
Au dada la Taifa we ni YATIMA HUNA MAMA au ???