https://t.co/kESxNUjoV4
*Masangula business Ltd*
*Call 0714544540*
Toyota Crown
2008
Km 74000
Cc 2340
New tyres
Price 20mil
Show Room
Moshi mjin๐๐
Watanzania, sasa tumebakiza TSh. Milioni 2.5 tu kufikisha TSh. Milioni 160 katika Marathon ya kufikia TSh. Milioni 334.
TUENDELEE KUCHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
NANI ALIYEWAAMBIA CHADEMA KUWA MARIDHIANO NI YA KWAO NA CCM AU SERIKALI?
SIJUI ni ujinga au upumbavu uliokithiri lakini inachekesha sana kusikia kila siku CHADEMA wanaongelea mambo ya maridhiano kama vile yanawahusu wao tu na bila wao hakuna maridhiano.
SIJUI nani anawadanganya kuwa maridhiano lazima wao wawepo na wao ni muhimu kuliko watu wengine linapokuja suala la maridhiano ya taifa hili.
CHADEMA wanaongozwa na ujinga na upumbavu wa miaka ya 90 ambapo walijipa umuhimu kwenye kila kitu cha nchi hii na kujiona kuwa wao ndiyo chama pekee ndani ya nchi hii chenye kuwazungumzia watanzania.
CHADEMA kina wanachama 450,000 hivi nchi nzima na hilo wanalijua na hawajawahi kupinga ndiyo maana ukiwaambia walete namba ya wanachama wao hawaijui na hawajawahi kuipinga idadi ya wanachama 450,000 ambao ndiyo wana kadi za uanachama na wako kwenye takwimu zao nchi nzima..
KWA HIYO dhana ya kuwa wao ni chama kikuu cha upinzani ni nadharia tu za kwenye makaratasi na ni ujinga kusema ni chama kikuu wakati hakina mbunge hata mmoja,hakina diwani hata mmoja,hakina mjumbe wa nyumba kumi hata mmoja sasa huu ukuu unatoka wapi?
YAANI ukuu wao ni upi? Au chama kikuu cha kuombaomba hela na kuitisha michango? Inawezekana hatujui lakini huu ndiyo ukweli huwezi kuwa chama kikuu wakati huna mbunge hata mmoja unabadio kupayuka payuka tu..
SUALA LA MARIDHIANO kama lipo na lina tija kufanyika basi litafanyika na watanzania kwa maana makundi yote ya watanzania kuanzia makundi ya kidini,makundi ya asasi zisizo za kiserikali,makundi ya wafanyabiashara,makundi ya vyama vya wafanyakazi,makundi ya wanataaluma wa vyuo vikuu ,mashule na taasisi zingine za elimu,makundi ya watanzania wa kawaida mitaani huko na mwisho ndiyo vyama vya siasa vitahusika.
HAYA ndiyo aina ya maridhiano ambayo kama Tanzania itahitaji kuwa nayo itayafanya kwa mtindo huo na makundi yatakayohusika ni hayo yaliyotajwa kwa kuwa hayo ndiyo yanafanya watanzania na yanafanya kuwe na taifa linaitwa Tanzania lakini siyo mtu yuko jela kwa matatizo yake ya kujitakia na kutaka kuleta uasi basi yafanywe maridhiano kwa sababu yake. Au chama kinachochea vurugu na machafuko halafu maridhiano yafanywe kwa ajili yao.. Hakuna maridhiano ya hivyo..
CHADEMA kama wanataka kuridhiano kisiasa wana umoja wao wa vyama kule TCD wanakobadilishanaga uenyekiti waende wakaridhiane huko kama maridhiano wanataka na CCM au wanataka maridhiano ya kisiasa.. Huko ndiko kwa kwenda kufanya haya wanayoyataka lakini kama ni kwa nchi au taifa hawana uwezo huo na haiwezekani watu wao 450,000 wakawa ndiyo kigezo cha kuwa wao ndiyo mhimili muhimu wa kuridhiana..
CHADEMA wana kelele sana na sijajua nani aliwahi kuwaaambia kuwa wao ni chombo cha kuwasemea watanzania. CHADEMA ni kikundi cha iddlers kama walivyo watu kwenye vyama vingine ambao wameona uvivu kulima na kujihusisha na kilimo wakaamua kugeuza siasa kama kazi ya kijikimu kimaisha kwa hiyo mipango ya maisha yao haiwezi kuwa ndiyo maamuzi ya watanzania.
SIKU watanzania watakapoona kuna haja ya kufanya maridhiano yatafanyika bila chama chochote kujiona kina umuhimu kuliko wengine kwenye mchakato wa maridhiano na watanzania ndiyo watakaoamua nini hoja za kuridhiana.
HATUWEZI kila siku kuwa na makelele na vyama au vikundi vya iddlers walioshindwa kushindana kwenye uchaguzi sasa wanataka kuingia serikalini au kuchukua dola kwa njia za mkato kusumbua na makelele ya maridhiano.
WATANZANIA walishamaliza uchaguzi wanangoja uchaguzi mwingine 2030 yaani kuanza kuwapigia makelele sijui marishiano na majitu mavivu ya kufanya kazi na mavivu ya kulima na kugeuza siasa kama kazi ni kupotezea muda watanzania.
MNATAKA katiba mpya kwani iliyopo si ndiyo mlikuwa mnatumia kuapa miaka hiyo mkiwa wabunge au? Au katiba hii ni mbaya kwa kuwa mmekosa ubunge na hamna fursa za kupokea posho na ruzuku?
MSITUPIGIE KELELE HAPA... Tulishamaliza uchaguzi mliosusia na mlishindwa kufanya mapinduzi sasa tulieni subirini 2030 ,msipojipanga mtakuja kusema mmeibiwa kura tena..
#KigogoMediaUpdates
@_zack255 Kashasema hatishwi na milio ya mbwa
Alafu wanachama sisi tunamuomba achukue million 50 kwenye pesa tunazokusanya alafu tutazirudisha๐๐๐๐
Unaangalia fainali ya Kombe la Dunia 2026: Perfomance za maana kutoka kwa Post Malone, iShowSpeed, Madonna, Shakira, Burna Boy, BTS, Justine Bieber, Gustavo Dudamel, ColdPlay hadi Tom Cruise (special guest). Hakuna picha ya mwanasiasa, wala hakuna mtu anayemlamba miguu mtawala au Serikali. TRUMP kakaa jukwaani, hakuna mbwembwe. Jennifer Hudson na Maria Becerra wameimba nyimbo za taifa, wakaondoka zao. Sasa rudi huku kwetu uswahilini lazima wamshukuru mtawala; hivi huu โuchawaโ wa kusifia watawala kila sekunde tumeurithi wapi? Ulaya na Marekani wamefanya sekta ya burudani na michezo kuwa biashara inayojitegemea (pure entertainment business). Subiri AFCON 2027. mabango ya โmama amewezeshaโ au โmama amefanikishaโ yatajaa barabarani hadi sebuleni. Utasikia โHamtaki show kama hii ifanyike kwenye arena?โ
MAFUTA SI MALI YA SERIKALI; NI MALI YA WATANZANIA. HIVYO, WATANZANIA WANA HAKI YA KUJUA.
Mafuta ni bidhaa ya kimkakati. Bei yake huathiri gharama za usafiri, uzalishaji, kilimo, biashara na hatimaye maisha ya kila Mtanzania. Kwa sababu hiyo, mchakato wa uagizaji wa mafuta unapaswa kuwa wa uwazi, ushindani wa haki na uwajibikaji.
Kwa maslahi ya umma, mamlaka husika zinapaswa kutoa majibu ya wazi kwa maswali yafuatayo:
Ni kampuni gani imepewa zabuni ya kuingiza mafuta nchini kwa sasa?
Zabuni hiyo ilitangazwa lini, ilitangazwa kwa utaratibu upi, na ni kampuni ngapi ziliwasilisha zabuni zao?
Ni vigezo gani vya kitaalamu, kifedha na kisheria vilitumika kumchagua mshindi wa zabuni hiyo?
Kampuni ya Namaro ni ya nani? Imesajiliwa katika nchi gani? Ina uzoefu gani katika biashara ya mafuta, na ilikidhi vipi masharti ya zabuni?
Je, kuna uhusiano wowote wa kibiashara, kimiliki au wa kimkataba kati ya Namaro, Oilcom na Vitol? Ikiwa upo, ni wa aina gani?
Mkataba huu utaongeza ushindani na kupunguza gharama za mafuta kwa wananchi, au utaongeza mkusanyiko wa nguvu za soko kwa kampuni chache?
Serikali imechukua hatua gani kuhakikisha kwamba mchakato huu unazingatia sheria za manunuzi, sheria za ushindani na unalinda maslahi ya Taifa?
Haya si maswali ya uadui. Haya ni maswali ya uwajibikaji. Serikali inayosimamia rasilimali za umma kwa uwazi haina sababu ya kuogopa kuyajibu.
Wananchi wanapouliza kuhusu namna biashara ya mafuta inavyoendeshwa, hawafanyi hivyo kwa sababu wanapinga maendeleo. Wanafanya hivyo kwa sababu mafuta yanagusa maisha yao kila siku, na wanataka kujiridhisha kwamba maamuzi yote yanafanywa kwa uwazi, kwa ushindani wa haki na kwa manufaa ya Taifa.
Uwazi hujenga imani. Ukimya hujenga mashaka.
@davitheempire ๐๐๐ hapana Hosam alikuwa afrika kusini akawa anamtumia baba yake pesa za ujenzi baada za vurugu kushika kasi akaamua arudi bongo ila kufika sasa anataka Kuona nyumba yake hakuna cha nyumba Wala nini na picha alikuwa anarushiwa walipo fikia je wewe ungefanya nini?
Kaka, Ahsante sana kwa hii heshma ila nimekaa chini na nimefikiria sana ubaya na uzuri wa mimi kupokea pesa za diaspora.
Ubaya ni kwamba nikipokea hizi pesa basi nimepoteza nguvu ya kumtetea Heche kuhusu michango ya tone tone maana watasema โHuyo Manga lazma amtetee Heche maana yeye mwenyewe anakula michango ya Diasporaโ , sasa nitajikuta badala ya kumtetea Heche niko busy kujitetea mwenyewe. Na chochote nitachosema kumtetea Heche au Chadema kwenye swala la tone tone hakitokuwa na nguvu tena kwa wananchi. Yani utetezi wangu utakosa uzito.
So mimi naomba nikae mbali na michango ili niwe na authority ya kupambana na mbwa za Samia zinazotaka kumchafua Heche.
Kaka, Ahsante sana kwa hii heshma ila nimekaa chini na nimefikiria sana ubaya na uzuri wa mimi kupokea pesa za diaspora.
Ubaya ni kwamba nikipokea hizi pesa basi nimepoteza nguvu ya kumtetea Heche kuhusu michango ya tone tone maana watasema โHuyo Manga lazma amtetee Heche maana yeye mwenyewe anakula michango ya Diasporaโ , sasa nitajikuta badala ya kumtetea Heche niko busy kujitetea mwenyewe. Na chochote nitachosema kumtetea Heche au Chadema kwenye swala la tone tone hakitokuwa na nguvu tena kwa wananchi. Yani utetezi wangu utakosa uzito.
So mimi naomba nikae mbali na michango ili niwe na authority ya kupambana na mbwa za Samia zinazotaka kumchafua Heche.
ASANTENI WATANZANIA
TUMEFIKISHA TSH. MILIONI 144.3 โ๏ธ๐ฅ
Asanteni kwa mwitikio wenu mkubwa. Mpaka sasa, tumefanikiwa kukusanya TSh. Milioni 144.3 katika Marathon ya kufikia TSh. Milioni 334 kwa ajili ya kufanikisha Baraza Kuu la Umma.
Kasi hii inaonyesha kwamba Watanzania wanaweza.
TUENDELEE KUCHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
ASANTENI WATANZANIA
TUMEFIKISHA TSH. MILIONI 144.3 โ๏ธ๐ฅ
Asanteni kwa mwitikio wenu mkubwa. Mpaka sasa, tumefanikiwa kukusanya TSh. Milioni 144.3 katika Marathon ya kufikia TSh. Milioni 334 kwa ajili ya kufanikisha Baraza Kuu la Umma.
Kasi hii inaonyesha kwamba Watanzania wanaweza.
TUENDELEE KUCHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Maridhiano mnayojadili ni kati ya nani na nani? CCM na CHADEMA? CCM iko Polisi, CHADEMA iko Ukonga. Sasa tufanyeje? Tuwafungulie CCM kutoka Polisi na CHADEMA toka Ukonga, ndipo tutapata fursa ya maridhiano ya aina yoyote!