Habari hivi imetolewa na mamlaka ya hali ya hewa (TMA) Saa 9 na dk 24 jioni hii na kupokelewa Ofisi ya waziri mkuu (MAAFA) dakika tisa baadae (15:33 Pm)
OWM kwa kuzingatia uzito wa taarifa hii, wakaisambaza kwa wakuu wa mikoa na almashauri husika (na mamlaka nyingine)
Kwa Unyeti wa taarifa husika na jinsi ilivyopokelewa kidharura, siamini kama jambo hili litaishia kwenye taarifa tu.
Ningetegemea muda huu, maafisa majanga na maafisa habari, wawe kwenye mainstream meadia na digital platforms wakitoa awareness jinsi ya kujiokoa na janga hili.
Pia ningetegemea mahospitali yakianza kuandaliwa kujiandaa kupokea victims (If there will any, despite the fact we don't anticipate and plead God should forbid)
Lakini inawezekana taarifa hii ikapuuziwa labda kwa kuwa tabiri za nyuma za TMA ziliwahi kuwa kama ramli kwa kutotokea.
Hili tusilipuuze, TUKAE NALO KIMASTA
Tsunami is a Bitch
Uzi: UTAFITI KWA WANAUME NA MAPITO YAKE.
Ipo tafiti inasema mwanaume hutumia wastani wa masaa 7 kila mwaka kujificha chooni ili apate "Amani, Utulivu na Ukimya"
Tunapitia mengi sana badala ya kuendeleza hii kampeni mliyoificha kwenye utani wa "kila siku msisahau kumuogopa Mwanaume", mngetenga muda wenu kutuombea..
Dunia ni kama ina kiwango tulichoshindwa kufikia ukomo wake wa changamoto..
Kazini boss anakuhesabia siku kwamaana tayari kikao cha kufukuzwa kazi kimepata muafaka..
Baba mwenye nyumba anadai kodi yake mbele ya watoto tena kwa ukali usio mithilika..
Kijijini kile kitenge cha mama alichopewa kwenye kampeni za uchaguzi kimechakaa..
Baba anaumwa na shambani haendi tena..
Wadogo zetu wamekosa sare ya shule na madaftari.. hakuna future.
Ghetto moja, masela kibao. Tunalala ili pambazuke, sio tupumzike.
Mzigo wote upo kwetu, kosa ni kuja mjini kwa maelezo kuwa tumekuja kutafuta..
Maisha yetu ni kijiweni tu, ambapo hakuna cha maana zaidi ya mabishano ya mpira na siasa.
Marafiki ukiwaambia huna, wanakuita fake friend au snitch.
Wadada wa mjini usipotimiza mahitaji yao na upendo hupati tena. Ni kama biashara iliyokosa leseni tu.
Tuombeeni jamani,
Hivi hivi tulivyo, watu wana chuki na hata matabasamu yetu ya uongo..
Huko vilingeni kuna majina mpaka ya mama zetu, tunarogwa sisi na ukoo mzima..
Ila sawa, msisahau kuwaogopa wanaume, kama mnavyoambiana na kucheka kwa kejeli.
Ni mtu gani mwenye uwezo wa kuishi na tabasamu mbele yako na kazi kafukuzwa bila wewe kujua na home hamlali njaa?
Ni kiumbe gani anaweza kucheka mbele yako, na wakati huo nyumba mnayoishi tayari benki inayowadai mkopo ishaipiga mnada?
Ni binadamu yupi anaweza kuishi na watoto uliomdanganya ni wake, bila kupunguza huduma?
Tulivyo wachache hivi na bado kuna wenzetu wameisaliti jinsia na kwenda kuolewa.
Dunia ina watoto sio rizki kibao.. Kuwa mwanaume ni kazi jama!
Endeleeni na utani wenu wa "Don't forget to fear men."
Mngejua tunayopitia, kila siku mngetupokea kwa magoti stendi kila tunapotoka vibaruani na majasho yetu.. Ni Mateso.
Cc @AziziKasese
Mwanaume Sikiliza:
》Kwenye ajali ya meli ya Titanic iliyozama waliookolewa wengi walikuwa ni wanawake!
》Yaani zaidi ya 74% ya wanawake waliokolewa
》Watoto Zaidi ya 52% na wote waliokuwa daraja la 1 & 2 wote wakiokolewa na kuendelea kupiga matonge ya ugali kama kawaida.
》Ila kwa wanaume sasa ndiyo kimbembe, yaani kati ya vifo vyote 1,517 wengi walikufa ni wanaume ambao ni zaidi ya wanaume 1,347 bila kuweka wahudumu wa meli.
Ni kama 16% mpaka 20% tu ya wanaume wote ndiyo waliookolewa.
》Ni vizuri mwanaume kujua mapema kwamba hayupo anayekuja kukuokoa.
Wanaookolewa ni wanawake na watoto.
✧ Wewe unawajibika kwa 💯% na maisha yako.
✧ Uhalisia wa mambo utafuata matendo yako.
✧Acha kulalamika kwamba mambo hayako sawa. Wewe ndiyo unayehusika kuyaweka sawa.
✧ Ikitokea mtu kakushika mkono usidhani ni ujanja wako, huyo ni malaika katumwa. Mshukuru Mungu!
✧Pambana mpaka tone la mwisho bila kukata tamaa.
Ipo Siku Mengi Yatabaki Kuwa Historia.
@KingsonJnr
Taa ya ABS.
.
Hii Taa ikiwaka wakati unaendesha gari jua kwamba kuna tatizo katika sytem ya Brake.
.
ABS inafanya kazi kuhakikisha unapopata dharura ukishika brake za ghafla gari isimame bila kuleta madhara.
.
Ukiona hii taa imewaka ni muhimu kwenda kwa fundi arekebishe faster.
Pita hapa chini ujifunze warning light zingine ila ukiona zimewaka ujue shida ni nini na ufanye nini..
.
Maana unaweza ukakaanga engine ndani ya dakika 5 tu ikawa balaa..
.
Ukimaliza kusoma thanks to RT na wengine wajifunze kitu..
.
https://t.co/VF5QaTOzY2
Deo Sanga, M/Kiti wa CCM Mkoa wa Njombe, leo, akiwa ameongozana na Madiwani zaidi ya 50 wa Wilaya ya Njombe, alifika Kijiji cha Uliwa( Pale Chadema ilizindua Mradi wa Maji), na kuliagiza Baraza la Kata kutunga Sheria kali na kuwapeleka Mahakamani wananchi wote
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia neema na kibali cha kuongeza mwaka mwingine tena hapa duniani.Nawashukuru nyote kwa salamu zenu nyingi za upendo katika siku hii.
Ahsanteni sana kwa dua za siha njema,umri mrefu na utendaji bora.
Nawapenda wote
Mara ya kwanza Yanga hawakuadhibiwa,mara ya pili wakatozwa faini dola 35,000($35,000) mara hii uwezekano wa kudhibiwa ni mkubwa pia.USMA walituhusiwa na wasimamizi kutoka CAF kutumia chumba cha meneja wa uwanja kama dressing room baada ya kuridhika na madai yao. Karma imewarudia