Mwenyekiti wa CHADEMA @freemanmbowetz akizungumza na wakazi wa kata ya Laela, jimbo la Kwela, wikaya ya Sumbawanga, mkoa wa Rukwa katika oparesheni +255KatibaMpya
Ukisikiliza hapa, unabaini ni kwa namna gani serikali katili ya CCM inakusanya kodi nyingi kwa kila bidhaa kutoka kwa walipa kodi mara mbili na zaidi lakini maendeleo ya huduma za jamii hakuna.
Kuna sababu nyingi sana za msingi kuichukia serikali katili ya CCM. Fikiria mfuko wa saruji kiwandani ni Sh10,000 lakini Laela, Sumbawanga inauzwa Sh21,000. Ongezeko la Sh11,000 ni kodi.
Msikilize MWAMBA.
Walianza na VIZA FEKI, wakashindwa, wakaja na PLEA BARGAIN, wakashindwa, wakaja tena na BARUA YA SIRI, wakashindwa, sasa wamekuja na UTORO JESHINI, wameshindwa kabla HAWAJAANZA.๐๐
Yoshua 1:5
Haziwatoshi kabisa. Mungu hajaweza kudhibiti wizi itakuwa BinAdamu.
You are setting SSH up for failure.
HOJA sio kudhibiti WIZI HOJA ni kuweka MIFUMO thabit ili wizi ukitokea wanaoiba wajulikana na wachukuliwe HATUA.
This is nonsense kabisa MWIGULU!!!
Kesho tena ni ile siku yetu ya kubeba bango kubwa la #RudishaTotoAfyaKadi. Tunapambania #BimaYaAfya kwa watoto wetu. Kwa kuwa @nhiftz, @wizara_afyatz na waziri wa afya @ummymwalimu hawatusikilizi, tutabeba mabango na kusambaza. Mnaogopa? Kitu gani mnaweza kama hili litawashinda?
Tunaishi Kwenye Nchi Ambayo Makasiriko Ni Sehemu Muhimu Ya Maisha, Ukiamka Umeme Umekatika, Maji Hayatoki, Watu Mamekamatwa Na Polisi Bila Sababu, Bet Imechanika, Unayemdai Hapokei Simu, Mwenye Nyumba Anakudai Kodi, Daladala Za Kugombania ..Yaani Tafrani
Kipekee Leo nasheherekea siku yangu ya kuzaliwa.
Namshukuru Mungu kwa Zawadi ya pumzi ya UHAI.
Nawashukuru wazazi kwa malezi.
Ndugu jamaa na marafiki kwa kushiriki safari yangu ya maisha hapa duniani.
MAPAMBANO BADO YANAENDELEA.
Polisi wamekataza mikutano yetu ya hadhara Ngorongoro. Juzi Serikali ya Samia imekataza wabunge wa Ulaya kutembelea eneo hilo. Wanaficha kitu gani? Licha ya jitihada za Serikali, Ngorongoro sio gereza & Wamaasai sio wafungwa wa gereza hilo. Sisi tutakuwa Ngorongoro kuanzia kesho!