Unamtumia ‘mtumishi’ mbegu kila mara wakati wazazi wako wanasota na hujawasiliana nao miezi. Umesahau ‘mbegu’ inayoota haraka ni kuwajali wa nyumbani kwenu kwanza?
Ndugu zako wakiomba 10,000 unaona kero, harusi unaona ndio kuishi vizuri na watu. Enewei. Tusiingilie maisha yako.
Moja Ya MTIHANI ambao lazima UUSHINDE ni KUENDELEA kufanya kwa UBORA na kwa BIDII Hata pale ambapo hakuna mtu ANAYEKUTAJA au ANAYEKUSIFIA.
Usisahau Kuna WENGI wanakufuatilia na WANAKUTATHMINI KIMYAKIMYA bila kukuambia. UKIACHA kufanya utawathibitishia kuwa hauko “SERIOUS” na hawatakutaja kwenye FURSA KUBWA.
Endelea KUFANYA, Hata Kama HAWASEMI ila jua kuwa WANAKUFUATILIA.
See You At The Top
Reuben Michael Chongolo
Neema Fidelis Mfugale
Said Majaliwa
Ester Zulu Gama
BAADHI YA MA DED WWPYA
Chiunde Mfaume Kawawa
Abdul Omari Mtaka
Tamim Hamad Kambona
John John Nchimbi
Joanfaith John Kataraia
Shadrack M Mhagama.
Hao na wateule wengine wote tunawatakia utumishi bora.
BAADHI YA MA DAS WAPYA.
HONGERENI SANA.
Geofrey Moses Nauye
Justice Lawrance Kijazi
Shauri Selenda Msuya
Neema Michael Magembhe
John Kulwa Mgalula
Ramadhani Salmin Possible
James Godfrey Mkumbo
James Francis Chalamila
Ruth John Magufuli
Fatima Said Kubenea
Pendo Daniel Ndumbaro