OMG!! ππππ hii ni Mortuary ya Mwananyamala. Alieachia video hii anahofia mnooo maisha yake ndo maana imemchukua muda sana kunipa video hii.
Anasema kuwa polisi walikuwa wanachukua simu za manesi na madokta wanafuta video na picha na kuwatishia wasirekodi kitu, yeye alikuwa na simu 2 so akawapa simu ambayo alikuwa hajarekodi chochote wakaridhika.
TAARIFA MPYA YA MAANDAMANO.
Madai ya waandamnaji, Matokeo ya uchaguzi yafutwe, KATIBA MPYA, Waliotekwa waachiliwe huru, Tume huru ya uchaguzi na utawala wa Haki. #mo29
@MariaSTsehai Kwasasa hakuna njia ya kufanyia maridhiano hawaandamani chadema, act, aafp wala cup, wanaamdamana wananchi sasa wataridhiana na nani? Suluhisho ni tume itangaze kufuta uchaguzi