Uwa napenda sana shule ambazo, Mzazi unapewa details za maendeleo ya mtoto wako, kuanzia taaluma na tabia binafsi.
Hizi ndio shule Walimu bado wanafuatilia wanafunzi kama Wazazi.
WHAT TO DO DURING AN ASTHMA ATTACK
Living with asthma can be scary.
The tight chest, night coughs and fear of running out of breath in stressful situations.
What do you do during an asthma attack?
What steps can you take to reduce frequency of attacks?
Let’s talk about it
Imeelezwa kuwa kukamilika kwa daraja la Masagi linalojengwa katika barabara ya Kibirigi-Masagi kutasaidia kuunganisha vijiji vya Kibirigi, Masagi na Tyeme katika kata ya Mtoa, wilaya ya Iramba mkoani Singida.
#OktobaTunatikiSamia
@HabariLeo Mkoa wa Tabora unaongoza Kwa kuwa Na nyoka wengi sana Tena wakali kama koboko, swila nk. Hivyo wenyeji wa kule wana mbinu sana kukabiliana Nao katika mazingira mbalimbali.
Nashauri atafutwe yeyote kutoka Tabora atasaidia. @EFM_STATION mshtueni mzee wa Kaliua Oscar akasaidie.
Pitisha kijana wako kwenye mkondo wa Certificate ➡️ Diploma. Hakikisha anafanya kozi yenye vitendo ... mfano, upimaji ardhi, utaalamu wa umeme wa magari, automotive software engineering, machine tools, landscaping, oil and mining engineering
Msisitizie ajibidiishe kufanya yafuatayo:
- atie bidii ktk mafunzo ya vitendo
- apende kujitolea darasani na nje ya darasa
- atafute namna anavyoweza kuchanganya masomo yake ya vitendo na stadi za kompyuta
Uwe na Jumapili njema.
Usimdharau mtu yeyote, hata kama kwa macho yako unaona hana msaada wowote kwako. Kwa MUNGU hakuna mtu asiye na thamani ndiyo maana humuinua yeyote kwa wakati wake sahihi