@nulphin Umesahau alisema kujiuzulu kwake kutaanza tarehe 4 Septemba. Na sio siku ambayo taarifa yakukubaliwa kujiuzulu ilitolewa. Chama kime override maamuzi ya Rais kukubali ombi la Nchimbi.
@HusseinBashe Mtu kama huyu ndiye alistahili kupewa hela za BBT kwa makubaliano maalum ya yeye kusambaza ujuzi kwa wengine wenye nia thabiti ya kuwekeza kwenye kilimo cha apple.
@MAKIRIA001@SLello47@CRDBBankPlc Kiburi ndio sababu pekee inayomshusha aliye juu. Wameshajiona wapo level ya juu sana na wanasahau kwamba kuna washindani kibao pembeni yao.