@ReubenKigame@MarthaKarua@WMutunga@husskhalid@Honeyfarsafi Msichukulie maneno ya ' Spirit of East Africa' kama kichaka cha kuendeshea harakati zenu uchwara! Hapa Tanzania hatutaki na hatuhitaji ujinga wenu, mnesikia? Mtarudia tena au mmekoma kabisa?
@MarthaKarua@ReubenKigame Tulijua mtatoa mlio tu maana sindano imewaingia! Mama jana kakupa vidonge vyako na hutamchezea tena. Enhee, tupe habari za huko kwa akina @kizzabesigye1 maana wewe kwa kuzurura ni kiboko, ila Tz ndiyo umeaibishwa sana. Ungemsikilizaga Mzee Wassira wakati ule usingeaibika juzi!
@EduTalkTz Tumekuambia kazi ya kusukuma mabox na kusafisha vyoo vya wakubwa umemaliza, maana muda wa kazi bado. Angalia usijepoteza kibarua hapo New York!
@YerickoNyerereT@freemanmbowetz@freemanmbowetz achana kabisa na hiki chama, kinakoelekea siyo kuzuri, ni hatari, ndiyo maana akina Dr Slaa sasa hivi wanatangatanga huko. Chama cha siasa siyo mama wala baba wa mtu!
@YerickoNyerereT@freemanmbowetz Na aliwaambia mkifanya makosa mtajuta, na sasa naona ule utabiri wake au unabii wake unatimia. Hata miezi minne tu haijafika mliyempa kura za NDIYO, ndani ya nyumba ( Ukonga) Fanyeni kila mliwezalo kukirudisha hiki chama kwenye misingi yake, la sivyo kimekwisha! Pole Mbowe!
@mugheiry_rashid@HecheJohn Ndiyo maana mimi huwa sichelewi kumwita Bwege! Hata kusema amesoma akaelimika ni shida! Anatakiwa kuwa mvuvi wa samaki huyu!
@HecheJohn Bwege wewe, ndiyo maana lichama lako linazidi kuwa mapengo, kila mtu anakimbia. Leo Madeleke naye kaenda zake! Hiyo falsafa ya kijinga unayofikiri utawapumbaza watu kaifanye kijijini kwako huko Tarime!