@zittokabwe Kaka kwa ujumla HH anatumia mbinu mbaya sana kushinda huu uchaguzi.Lakini ni heri kwake asikilize maamuzi ya wananchi kuliko kujipatia ushindi ambao hautokuwa wa halali kwake.
@royalmediatz Yaani CHADEMA imekuwa Agenda ya CCM kwenye kila kikao,kila mkutano.CHADEMA inatamkwa mara nyingi kuliko Ilani ya chama na utekelezaji wake.Mlisema CHADEMA imekufa,sasa mnaijadili tenaa.