@Sisimizi3 Kwenye hilo ondoa shaka RC haijaanza kupoteza waumini leo.. ayo madhehebu yote unayoyajua wewe yote waumini wametoka RC na still RC ndio kanisa lenye wafuasi wanaozaliwa kwa wingi kila siku unayovuta pumzi.. kwaio wala usijisumbue na katoliki.. waache kama walivyo dogo tena tulia
@SimbaSCTanzania Ukitaka kujua kama kiongozi ni mpigaji dalili ni izo..! We watu kila siku wanaliimba jina lako tu kwamba hawakuelewi.. kwanini analazimisha kuwepo..? Inamaana kuna maslahi anayoyapata apo.. ndio maana ata alitumia nguvu kubwa kupata uongozi apo.. alimleta adi manzoki.. ๐
@privaldinho Washamvunja... japo sijawaonaga wengine wa zamani sana lakini Kaseja tu ni hatari kuliko uyo fala.. tena hamfikii hata nusu, ndio tatizo la watoto wa 2000 kipindi kaseja anafanya yake we ulikua bado hujielewi, acha ushamba na mihemko
@deejaytoxic3 Tulienda ukweni eti wakatutenga chumba tofauti na mkewangu usiku mkali kibaridi tukachat nikanyata nikazama chumba alicholala na watoto wawili wa wenyeji pale ukweni.. nilipeleka rungu kumamamake, mtoto mmoja alishtuka ukawa anausoma mchezo, akashindwa kukaza akaita mwiziiii...