Jana Putin alikuwa na kazi ngumu sana ya ku-babysit kimama 😁
Alishtuka kuwa kimama bado amevaa mic na ilikuwa on! Akakimbilia kumvua, mwenzake anataka kumshika kiuno 😁
Yaani Putin hatakaa asahau 🤣
#SamiaMustGo
ACCOUNTABILITY IS THE FOUNDATION OF INTEGRITY.
When entrusted with the responsibility to lead people, you do not lead through emotions, personal desires, or momentary impulses.
Leadership is built upon the Constitution, the Law, established Regulations, and the principles of Humanity and Justice. A leader must never make decisions out of fear, intimidation, pressure from friends, vested interest groups, or political influence, but rather through integrity, wisdom, and responsibility to the People.
A leader’s decisions must reflect competence, professionalism, and legitimacy, aimed at serving the broader interests of the Nation and the people under their leadership — not to satisfy personal interests or a particular group.
A visionary leader understands that authority is a sacred trust, and that trust is measured by the justice they deliver, the fairness they uphold, and the truth they honor. A leader remains accountable to their oath through conscience before God.
Make decisions at a standard so righteous that if God were to look down upon the world, He would see justice prevailing, truth being respected, and human dignity being upheld and He would smile.
And you, in your position of authority, if God were to look down upon the world today, would He smile? Or would He grieve and regret creating you?
TRUTH, JUSTICE, AND ACCOUNTABILITY ARE THE ONLY REMEDY FOR HEALING A NATION.
BAK Mwabukusi
Kudadeki walahi, hata swali kashindwa kuelewa. Dah!
Hakuulizwa kama Tanzania iko kwenye vikwazo, alichoulizwa ni kwamba, Russia iko vikwazo je Tanzania inatafaya vipi biashara na Russia ambayo iko kwenye vikwazo? Je Tanzania itafanikiwa vipi kuzunguka vikwazo hivyo vya Russia na kufanya biashara?
Alichojibu form 4 failure alieiba Urais kwa kuua wananchi zaidi ya elfu 10, Tanzania haiko kwenyw vikwazo. Dah!!!!!
Maandamano ya 7/7 yalioandaliwa na GEN Z binafsi nayaunga mkono asilimia mia mbili.
Kiuhalisia naona 7/7 yenyewe inachelewa kufika. Watu hawajazika wapendwa wao mpaka leo ni miezi 7 wanaomboleza hakuna MAJIBU KUTOKA Kwa wakoloni weusi.
Watanzania bado wanaendelea KUTEKWA NA KUPOTEZWA kila siku—wengine wakiwapata wapendwa zao wanawakuta hawana VICHWA wanazika kiwiliwili na hakuna majibu kutoka kwa WAKOLONI WEUSI.
TUNDU LISSU bado yupo jela na hakuna KESI dhidi yake zaidi ya siku 400 sasa, na wakoloni weusi wapo KIMYA tuu ni kama wanaona wanatumudu.
Haya maumivu tunayopitia watanzania lazima wajue tunaumia na sauti yetu lazima waisikie.
It appears that David Hundeyin and @Spearhead_Af's propaganda reel whitewashing #Tanzania's rigged election and violent crackdown has been shelved following massive blowback. A victory for truth and a testament to people power. No alibi for a massacre: https://t.co/ivzFhzC1uA
namna pekee maneno “mauaji ya 29 october, 2025 hayawexi kufichwa na tume ya uchunguzi” yanaweza kuwa ya “uongo” ni endapo kama polisi wanaamini tume ya uchunguzi inaweza kuficha kuhusu mauaji hayo. hii inaitwa “logic” ambayo @tanpol hawana historia ya kuwa nayo:
huu ni mnada wa waafrika waliokamatwa libya wakijaribu kwenda ulaya. hapa wanauzwa kama watumwa. umoja wa ulaya, na nchi wanachama wake, wanalifahamu hili, maana wanafadhili. umoja wa afrika, na wanachama wake, pia unafahamu. why wapo kimya?
#FreeTunduLissu
Tamko la Jukwaa la wanasheria na majaji la Afrika kuhusu dhulma dhidi ya Tundu Lissu
@judiciarytz mpoooo?
“AJJF expects the judiciary of Tanzania like all other judiciaries in Africa when faced with similar cases to discharge its constitutional mandate with independence, professionalism, and fidelity to the rule of law.”
Tafsiri:
AJJF inatarajia mahakama ya Tanzania kama mahakama nyingine zote barani Afrika inapokabiliwa na kesi kama hizi kutekeleza mamlaka yake ya kikatiba kwa uhuru, weledi, na uaminifu kwa utawala wa sheria.
https://t.co/EQfXfc3tLZ
Angalizo kwa Chadema. Tafadhali msiwa prop up ACT Wazalendo kama wapinzani.
Mnawapa credibility na mkiwapa credibility tu wanaenda kufanya maridhiano hawa kwa niaba ya wananchi.
Watanzania inabidi tuwe disappointed na Mpina leo. Why?????? Mpina amekubaliana na vifo 500 vya jaji Chande. Yoooooote mazuri aliyoongea Mpina yametutwa na hii idadi ya 500 aliyoikubali.
Issue critical ya October 29 ni idadi ya vifo. Every other issue is trivial compared na idadi ya vifo. So nilichoelewa mimi ni kwamba ACT Wazalendo wamemua kuwa back-up CCM kwenye the most important issue ambayo ni idadi ya vifo ila wanapiga spana kwenye issue ambazo sio important. Na huu ndio mchezo wa ACT miaka yooote. Huwa wanawapinga CCM kwenye issue trivial ila zikija issue kubwa kama hii ya idadi ya vifo lazma watakuwa upande wa CCM.
Idadi ya vifo ndio issue itatuletea msaada wa nje, na CCM na ACT wanaelewa hili, so they are working together on this main issue.
Tumesema chama cha upinzani TZ ni Chadema tu ila Chadema wenyewe mnawapa credibility hawa wahuni.
Baada ya Mpina kutembea na idadi ya vifo 500 ilibidi awe ignored. Haiwezekani International human rights Org ziseme vifo ni zaidi ya elfu 2, wananchi na wanaharakati tuseme vifo ni zaidi ya elfu 10, Jaji Chande na Samia waseme vifo ni 500 alafu ACT wa ignore watu wote ila wakubaliane na vifo ni 500 vya CCM.
Naomba Watanzania muanze kusikiliza vizuri kila wanapoongea ACT juu ya idadi ya vifo, it’s like Chama kizima wameambiana idadi ni 500, Nilisikia na Zitto akitembea na hii idadi. Yani it’s almost like sasa hivi kazi ya ACT Wazalendo ni kuwaaminisha Watanzania kuwa CCM waliuwa watu 500 na sio maelefu…..
Safari hii ya Ndugu Samia kwenda Russia inapaswa kutazamwa kwa umakini mkubwa kwa maslahi na ustawi wa Taifa letu.
Tujikumbushe historia ya namna Vladimir Putin aliingia madarakani na mfumo wa uongozi uliojengeka nchini Russia. Je, Russia ni taifa linalojengwa juu ya misingi ya demokrasia ya kweli, au ni taifa ambalo limekuwa likitawaliwa kwa mkono wa chuma na mamlaka makubwa ya dola?
Si kwa bahati mbaya kwamba marais waliotangulia hawakuweka kipaumbele kikubwa katika kujenga ushirika wa karibu na Russia. Walitambua tofauti za msingi zilizopo kati ya mfumo wa kidemokrasia na mifumo inayopunguza uhuru wa kisiasa.
Ukweli ni kwamba Ndugu Samia anaonekana kutafuta ushirikiano na mataifa ambayo hayatoi uzito mkubwa kwa masuala ya demokrasia, uwajibikaji na haki za binadamu. Wakati Marekani na Umoja wa Ulaya (EU) wakisisitiza uwajibikaji wa matukio ya Oktoba 29, yeye anaonekana kuelekeza nguvu zake katika kuimarisha mahusiano na China, U.A.E., na sasa Russia.
Wananchi tunapaswa kuwa rada, kufuatilia kwa karibu mwenendo huu na kukataa kupelekeshwa kidictator na kupelekwa kwenye mfumo wa uongozi ambao tuliukataa. Tunapaswa kusimama kidete katika kutetea demokrasia, haki na utawala wa sheria.
Tuendelee kukiunga mkono Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia namba 0744 446969, jina: Chadema HQ.
#TunawatuTutashinda
#OperesheniKatibaMpya
#FreeTunduALissu
Following the bipartisan bill introduced by Senator @SenatorShaheen and Senator @SenTedCruz to review Tanzania–U.S. relations and demand accountability for human rights abuses during the October 2025 elections, samia suluhu hassan is turning to Russia and China to evade international scrutiny.
The US should not ease pressure. Instead, it should intensify efforts to hold her regime accountable and help prevent further erosion of human rights, democracy, and the rule of law in Tanzania.
@StateDeputySpox@StateDept@SenateForeign@HouseForeignGOP@SFRCdems@SecRubio@POTUS
. @SecRubio@SenTedCruz@SenatorShaheen@SenateForeign@SFRCdems@realDonaldTrump@POTUS
Samia Suluhu is now actively pivoting Tanzania toward Russia in an apparent effort to shield herself and her brutal regime from accountability for the October 29 killings.
If the United States is serious about helping Tanzania and supporting justice, it must act quickly. History has shown how authoritarian leaders can use foreign military and political backing to entrench their power and avoid accountability.
To African citizens across the continent: pay close attention to what is happening in Tanzania.
China and Russia are not standing with the victims of the October 29 massacre. Too often, they align themselves with Africa’s most repressive leaders rather than with ordinary citizens struggling for freedom, dignity, and human rights.
While Western governments continue to raise concerns and call for independent investigations in Tanzania, Russia and China are providing support to the butcher of Tanzania.
WAKO WAPI? Tuta wadai wakati unaofaa na wakati Usio faa.
Salamu ya Leo
Na kusalimu kwa jina la EWURA
JIBU: YAKISHUKA HATUSHUSHI YA KIPANDA TUNAPANDA.
Ukweli,Haki na Uwajibikaji Utaliponya Taifa.
BAK MWABUKUSI
Mwigulu unasemaje sasa kuhusu hili? Anaehujumu serikali ni nani?
Serikali dhalimu hii iliyojaaa damu, inatesa mamilioni ya Watanzania kuanzia Mtwara mpaka Tarime toka Tarime mpaka Kigoma kutoka Kigoma mpaka Songea, Tunduma mpka Dar..
Kila kona ya Nchi hii watu wanalia kama sio kubambikiziwa kesi na polisi, ndugu zao wametekwa au wameuwawa na vyombo vya dola .
Huyu mama anahitaji kulipwa nini ili aandamane kudai haki ya mtoto wake kutekwa.
Watoto wa huyo kijana au wa Soka, Mdude au polepole, watoto wa Chonchoryo au Sinda, watoto wa Tall au Kipanya wakikua wataacha watoto wenu waishi kwa Amani?
Mnajenga sumu ya hatari mno kwenye mioyo ya Watanzania, bahati mbaya nashindwa kuona tatizo hili na kulitatua bado mnatumia ubabe na kiburi…
Fikiria huyo angekua mama yako!
Utaratibu wa polisi kukamata watu upo kisheria. Kwanini polisi wanateka Watanzania?
Kila mtu ambae mtoto wake au ndugu yake amechukuliwa story zinafanana kwamba watekaji walijitambulisha kwamba wao ni polisi.
Jambo kubwa kama hili, Watuhumiwa ni polisi alafu unasema polisi ndio wafuatilie!hivi mnawaonaje Watanzania?
Watanzania hawatakubali kuishi kwa hofu kwasababu ya kagenge kadogo ka wauaji na wanyonya damu.
Hii video ndio sababu sitokaa kurudi tena kwenye umbea mpaka haki ipatikane Tz. I feel like nina deni kubwa la kuhakikisha hivi vifo vinapata haki na vinaleta haki kwenye nchi. This video ndio sababu I will never abandon the movement.
Kwa mara ya kwanza leo naposti full clip.
Video ya kwanza ndio original video. Video ya pili ndio video niliowapostia Watanzania, nilikata jina langu. I did this to a number of videos za Arusha. For some reason vijana wengi wa Arusha walikuwa wanasema “Dada Mange ona wanatuua” au “Mtumie Mange Kimambi aone”. Nitaachia na video zingine nilizokata jina langu.
The reason I’m posting this today ni sababu wauwaji wanalipa watu kusema kuwa hawa vijana walilipwa.
@SuluhuSamia kwanini hawa vijana hawakuita jina la waliowalipa waandamane? Instead wanaita jina la dada yao aliewapa elimu ya umuhimu wa kuandamana ili kudai haki kwenye nchi yao?????? Au niliwalipa mimi???
Vijana wa Tanzania naomba mjue, I’m in this fight mpaka haki ipatikane Tz au mpaka siku nakufa…… Hakuna kitu kingine nitafanya kwenye mitandao zaidi ya kudai haki juu ya vifo hivi….