Was making small talk with an air hostess. I ask where she’s from & she said Algeria.
Me: nice, i’ve never been. The visa process is difficult for Nigerians i think.
her: not just Nigerians, everyone.
People, behold the visa policy map of Algeria 💀
HAMASISHENI WANANCHI KUZIBA MENO SIO KUNG’OA
Na WAF - Njombe
Wito umetolewa kwa Madaktari Viongozi wa Kinywa na Meno kwa ngazi za Mikoa, Halmashauri, Hospitali za Mikoa, kanda na Taifa kuhamasisha wananchi kuziba meno badala ya kung’oa kwa kuwa Serikali imeweka miundombinu rafiki na ya kuridhisha katika utoaji wa huduma hizo.
Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Huduma za Tiba, Wizara ya Afya, Dkt. Hamad Nyembea Oktoba 29, 2024 wakati wa Mkutano wa Mwaka wa Madaktari Viongozi wa Kinywa na Meno wa mkoa, unaoendelea mkoani Njombe kwa siku mbili kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Mji Njombe.
“Nazipongeza Hospitali za Rufaa, Mikoa na Halmashauri kwa kusimamia kwa vitendo dhima ya “Dawa ya jino siyo kungoa” jino linatibika, hivyo Tanzania bila vibogoyo inawezekana,” amesema Dkt. Nyembea.
Amesema kuwa maboresho yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita kwenye matibabu ya kinywa na meno ni ya kihistoria na yameleta mapinduzi makubwa katika eneo hilo ambapo kuna ongezeko kubwa la watu wanaoziba meno kutoka asilimia 2 mwaka 2020 hadi kufikia asilimia 41 mwaka 2024.
Takwimu hizo zinaenda sambamba na ununuzi wa viti vya kisasa vya kinywa na meno (Complete Dental Chairs) vipatavyo 207 kuanzia Januari – Desemba 2023 kwa gharama ya fedha za kitanzania Shilingi Bilioni 4.3, ununuzi wa mashine za kidijitali za mionzi za meno 102, zenye thamani ya Shilingi Milioni 999.6 zimenunuliwa na kufungwa katika Hospitali za Taifa, Kanda, Rufaa, Mikoa, Halmashauri na vituo vya Afya nchini.
Takwimu pia zinaonyesha mwaka 2024 Serikali ilinunua pia Mashine za Kidijitali za mionzi za meno (Digital Periapical Dental X-Ray) 107 zenye thamani ya Shilingi Bilioni 1 katika Hospitali mbalimbali pamoja na mashine za kisasa za kiradiolojia ya uchunguzi wa magonjwa ya kinywa na meno aina ya 3D-CBCT zipatazo 14 kwa thamani ya shilingi Bilioni 3.8
Dk. Nyembea ametumia jukwaa hilo kuagiza usitishaji wa matumizi ya dawa ya kuziba meno aina ya AMALGAM kutokana na madhara yake kwa binadamu na uchafuzi wa mazingira kutokana na kiambata hicho, na badala yake akaagiza waganga wakuu wa mikoa, wilaya, waganga wafawidhi wa hospitali za rufaa za mikoa, kanda na maalumu, kuhakikisha wanatumia dawa aina ya CENTION kwa matibabu hayo ya kuziba jino.
“Tanzania imetimiza kwa vitendo Mkataba wa Umoja wa Mataifa uliosainiwa MINAMATA mwaka 2013 wa upunguzaji na usitishaji wa matumizi ya Zebaki kwa kusitisha kabisa matumizi ya dawa ya kuziba meno aina ya AMALGAM toka mwaka 2022, hivyo naiagaiza Bohari ya Dawa (MSD) kuhakikisha Dawa hii ya CENTION inapatikana kwenye hospitali na vituo vyote vya umma vinavyotoa matibabu ya kinywa na meno” amesisitiza Dkt. Nyambea.
As tomorrow, we start World Oral Health Week 13th-20th March 2024 . It was an honour to be at the Dentopharma supplies Limited in presentation and discussion of Cention N restorative material, which is the replacement of Glass Ionomer cement & Amalgam restorative materials.
Elon Musk explains exactly how Space X's Mechazilla can catch the Super Heavy booster.
On Sunday morning, Space X successfully caught a 20+ story tall rocket booster.
"This is a custom-built tower with arms that are designed to catch the largest flying and heaviest flying object ever made and pluck it outta the air."
"It'll weigh about 250 tons. We'll make that lighter over time."
"So you got a couple hundred tons plummeting at more than half the speed of sound. So this thing is still coming in really fast."
"When the engines land... it's gonna drop the velocity to basically zero and come in between the arms."
"The arms will be wide, and as it's coming in, the arms will, will close, go flush against the side of the vehicle, and the vehicle will be descending through the arms."
"The probability is uncertain, but it is above zero."
Insane.