Nyerere alitupa uhuru kwa amani,akatulea kwa upendo na kuondoa ubaguzi wa kikabila,hakuwa na tamaa ya mali wala madaraka pia alikuwa anakunywa https://t.co/a4IhYZwbGN jukumu letu kuenzi alichotuachia
@rollymsouth Lengo ni kujua kiwango Cha kila MWEZI kinachokatwa na mwaajiri kutoka kwenye MSHAHALA wa mfanyakazi Kama PAYE (WITHHOLDING TAX) so taarifa zitaenda direct TRA kuptia TIN
Kama Unafatilia Social Networks Iwe Twitter Na Mingine Basi Usiwe Mwepesi Wa Kuamini Moja Kwa Moja Kila Kinchozungumzwa Ndani Ya Mitandao Hiyo
Japo Yapo Mengine Ya Ukweli Ndio Lakini Take A Time Kujiridhisha Ndipo Useme ,Kama Sivyo Basi Nakukumbusha Kuwa Ukimya Haunaga Hasara.
Naitwa John Pombe Joseph Magufuli, mgombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ewe Mtanzania mwenzangu, naomba kura yako ya ndio tarehe 28/10/2020. Chagua Magufuli kwa maendeleo ya kweli ili tuendelee kujenga Tanzania mpya. Asante.
@abdulnondo2 Sasa unajisifu nn hapo mzee kaonyesha uzalendo wa kweli kwa kutuasa vijana tusiifate upepo.. ndo nasemaga nondo wew huna AKILI kabsa unaona sifa kumpost mzee analilia nchi yake isiingie kwenye machafuko