Mtoto mjenge kabla ya kumjengea. Ukihangaika sana kumjengea bila kumjenga yeye mwenyewe, hatakuwa na uwezo wa kuviendeleza ulivyomjengea. Ukimjenga yeye, hata usipomjengea, atajenga vyake.
@motowntz@MfalmeJuhaTz@kigogo2014 Sudan kusini ilipoanza kuwa taifa ilitoa tenda kwa nchi za Africa kuwasaidia kuanzisha mfumo wa kodi, TRA walishinda tenda hiyo na wakaenda kuanzisha mfumo huo. Uteuzi wa huyo DG ni muendelezo wa kazi ambayo imeanza tangu 2012 kama sikosei
@MariaSTsehai shule ilifuata taratibu zote za rufaa Hadi mahakama ya rufaa ambapo iliamriwa kuwa ni kodi sahihi. Hivyo sioni kama ni vema kuongoza siasa wale ni walipakodi kama walipakodi wengine na walikosea kweli
@MariaSTsehai Dada binafsi ninakukubali sana na ninakupongeza kwa ujasiri na uzalendo.
Sema suala la St. Jude limewekwa kisiasa sana lakini wala halikutakiwa kuchukua mlengo huo.
Hii kodi inayozungumziwa ni ya miaka ya 2009 na 2010 na ilitolewa 2012.