Ni Wajibu wa kila Mtanzania kusimamia haki ya mwanamke kuwa na Hedhi salama. Ahsante @CloudsMediaLive Kwa kusimama na wanawake na mabinti wa Tanzania
#PediBilaKodi
Ahsante kwa wote waliungana na kampeni. Martin Luther King aliwahi kusema "Mwisho wa siku hatutakumbuka kelele za adui zetu, bali hatutasahau ukimya wa marafiki zetu"
#PediBilaKodi inatuhusu wote. Ni haki ya kila mwanamke kuwa na #HedhiSalama inayolinda utu
#ToT#ChangeTanzania
Naunga mkono hoja ya #PediBilaKodi
Sio kila binti ana uwezo wa kununua pedi kila mwezi, ziwe na gharama hata binti kutoka familia maskini anaweza.
Lakini bado naamini Serikali ina uwezo wa kutoa pedi bure.
Ni vipaumbele tuu.
But where are the female MPs in #TZ 🇹🇿 ?
Why don't they mobilize and petition for #TaxFree#SanitaryPads for all? Why is this it left to activists to lead this fight? Why? Same quietness prevailed when #TeenageMoms were banned from resuming studies. #PediBilaKodi
Kilio hiki na kisikike kwa Mh. Rais @MagufuliJP, Waziri wa Fedha na @bunge_tz. Hatunabudi kuonyesha mapenzi ya dhati kwa binti zetu hasa wa vijijini #PediBilaKodi
So think about girls soiling themselves not going to school because of not wanting shame.Pads makes one feel comfortable and more so excel.If this girl doesn’t get a pad,since it’s pricy,how are we helping her?Its Double Trouble!! #PedibilaKodi@RebecaGyumi@Lydiacharles_
Join the campaign #PediBilaKodi - menstruation is not a choice, women & girls shouldn't be taxed based on their biology. Let's work together to ensure menstrual products are accessible & affordable for ALL women & girls in #Tanzania
Jiunge na kampeni ya #PediBilaKodi kuishinikiza serikali kutorudisha kodi ya ongezeko la thamani kwenye pedi. Hedhi si kitu cha hiyari kwa wasichana na wanawake na hawapaswi kulipia kodi jambo hili la kibailojia. Tuhakikishe wasichana na wanawake wanapata pedi kwa gharama nafuu.