Mdau wa https://t.co/dDd21Ugmlv amehoji kupandishwa kwa nauli za huduma ya usafiri wa Mabasi Yaendayo Haraka maarufu kwa jina la Mwendokasi (#DART) kutoka Tsh. 750 hadi 1,000 bila kutolewa taarifa rasmi kwa Wananchi, ameongeza kuwa Mamlaka zimeona abiria hawapaswi kupata taarifa juu ya mabadiliko hayo ya bei?
Zaidi: https://t.co/LnOZomGplN
#JamiiAfrica #JamiiForums #JFMdau2025 #HudumaZaKijamii #JFHuduma #JFUwajibika
📹 Vice President Constantino Chiwenga, who represented Zimbabwe at the inauguration of President Samia Suluhu on Monday says “the situation that has happened in Tanzania is quite disturbing and it’s something that has got to be avoided at all costs.”
Rest in peace to all the brothers and sisters who lost their lives, actually they didn’t lose their lives their lives were taken. Their sacrifice and blood will not go unanswered and will not be in vain, eventually their courage will forever demand justice 🙏🏾
Mwaka Jana October katikati tuliingia biashara ya Logistics rasmi
Tumeweza ajiri full time vijana watano
Tumeweza safirisha containers zaidi ya 700(export na Import)
Bado ni wachanga lakini mdo mdo tunasonga.
Asanteni nyote kwa pole na pongezi.
Nimeandika posti yangu kuna raia ameniambia naleta jangwa, kuwa namaliza miti kwa kuandika sana🤣
Dah. Watu hawana huruma kabisa!
Mji wa Serikali wa Magufuli City uliopo Mtumba Dodoma. Hapa kuna mejengo ya Wizara zote na baadhi ya taasisi za Serikali. Pia kuna eneo lilotengwa kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya Balozi na Mashirika ya kimataifa ya umoja wa mataifa.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepitisha kwa kishindo marekebisho ya Katiba yake ya mwaka 1977 (toleo la Mei 2025), baada ya kura ya maoni ya ndani ya chama kuonyesha uungwaji mkono wa asilimia 99.8 kutoka kwa wajumbe wa Mkutano Maalum wa CCM uliofanyika Jumamosi kwa njia ya mtandao.
Matokeo ya kura hiyo yalitangazwa rasmi na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Idara ya Oganaizesheni, Issa Haji Ussi Gavu, aliyesema kuwa jumla ya wajumbe 1,915 walishiriki katika upigaji kura, kati ya wajumbe 1,931 waliotarajiwa.
“Idadi ya wajumbe, jumla ya wajumbe wote ambao wanatakiwa kupiga kura hii ni 1931 kama ambavyo tulitangaziwa hapo awali, lakini wajumbe waliohudhuria ni 1915, wajumbe wasiohudhuria ni wajumbe 16, wajumbe waliopiga kura ni wajumbe 1915 lakini kura za hapana ni sifuri, kura zilizoharibika ni tatu, kura za ndiyo ni 1912 hiyo ni sawa na asilimia 99.8. Idadi ya waliopiga kura Mheshimiwa Mwenyekiti imejumuisha wajumbe 191 walioko ukumbini”, amesema Gavu wakati akisoma matokeo hayo.
Uamuzi huo umeashiria uungwaji mkono mkubwa wa wanachama wa CCM kwa marekebisho yaliyopendekezwa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, marekebisho ambayo yanalenga kuongeza ufanisi katika mchakato wa uteuzi wa wagombea ndani ya chama.
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, awali aliwaeleza wajumbe kuwa marekebisho hayo ni madogo lakini ya kimkakati, na hayana lengo la kubadili mfumo mzima wa uteuzi bali kutoa unyumbufu zaidi kwa Kamati Kuu kuongeza idadi ya wagombea wanaoshiriki kura za maoni.
Marekebisho hayo yaliyoidhinishwa kwa kura hizo ni pamoja na kurekebisha Ibara ya 105(7F) ya Katiba ya CCM kwa kuongezewa kipengele kitakachoiruhusu Kamati Kuu kuongeza idadi ya wagombea wa ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi katika hatua ya kura za maoni, aidha kurekebisha Ibara ya 91(6C) kwa mtiririko huo huo kwa upande wa nafasi za udiwani.
Rais Samia Suluhu Hassan aliwapongeza wajumbe kwa ushiriki mkubwa na kusema kuwa hatua hiyo inaonesha uimara wa misingi ya demokrasia ndani ya CCM huku akibainisha kuwa mchakato upande wa udiwani utaendelea kama kawaida kwakuwa tayari umesharuka hatua ambayo imefanyiwa urekebu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mashujaa katika uwanja wa Mashujaa Mtumba Jijini Dodoma tarehe 25 Julai, 2025.
Twita wakatoliki nina swali 😁
Hela ya mkopo inatolewa fungu la kumi?
Yaani umeomba mkopo kwenye taasisi ya fedha kwaaajili ya jambo fulani la kibiashara umepata, hiyo nayo inakulazimi kutoa fungu la kumi?
Huu ubishi mimi na huyu binti hapa
hatuwezi maliza. 😌
Asante.
Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA Freeman Mbowe akipata picha ya kipekee ya pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan baada ya uzinduzi wa Dira 2050, jijini Dodoma.
🔰 IJUE ILANI
CCM Kuanzisha Kituo cha Taifa cha Usalama Mtandao kwa ajili ya ulinzi wa miundombinu ya TEHAMA na kuimarisha matumizi salama ya teknolojia ya kidijitali.
#kazinaututunasongambele#oktobatunatiki✅✅
Mkurugenzi wa Taasisi ya Shule Direct na Mdau wa maendeleo ya elimu pamoja na mafunzo ya ujasiriamali kwa Wanawake, Faraja Kotta ( @FarajaNyalandu ) ambaye pia aliwahi kuwa Miss Tanzania mwaka 2004, amejiunga kwenye mbio za kisiasa kwa kuchukua fomu za Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa kuchukua fomu ya kuwania Ubunge wa Viti Maalum kupitia Jumuiya ya UWT Mkoa wa Tanga.
#MillardAyoUPDATES
Mdude tunamsahau kama utani, Soka na yeye ndio kabisa lakini hawa wote ni ndugu zetu na watanzania wenzetu na wamepotea kwenye nchi hii hii 🙌🙌🙌
Mungu pekee ndiye anajua walipo tusiache kuwaombea dua 🤲
Safarini kwa treni kutoka Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma, ambapo pamoja na majukumu mengine, kesho Ijumaa Juni 27 nitahutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.