Tundu Lissu has been in detention for more than 500 days because he advocates for free and fair elections and a democratic future for his country. He continues to face the death penalty.
Despite persecution and repression, Tundu Lissu remains steadfast in his democratic convictions. His nomination honours this extraordinary courage. The EU must no longer tolerate the criminalisation of legitimate opposition work or the manipulation of the judiciary in Tanzania.
RIP MZEE KIBAO REST EASY TATA WATOTO WAKO TUTAPAMBANA MPAKA HAKI IPATIKANE NA MWENYENZI MUNGU HAKIMU WA HAKI ATATUSAIDIA!!JUSTICE WILL BE SAVED!!!!
TUTASHINDA KILA HATUA NAIONA NURU MBELE!!!
KWA MUNGU YOTE YANAWEZEKANA..
SUBIRINI VIPENZI NDO TUMEINGIA SEPTEMBER MTAONA MENGI!!!
Thank you, @TechCabal.
But I would like to clarify something: I am not an influencer. I stopped being an influencer and became a full time activist about two years ago.
For many years, I moved between being an activist and an influencer, depending on what was happening in my native country, Tanzania. But for the past two years, I have dedicated myself fully to activism, and that is what I intend to do for the rest of my life, or until Tanzania is free from mass killings, kidnappings, arbitrary imprisonment, fabricated treason charges, forced disappearances, sexual torture, and the silencing of the media.
I will continue this fight until Tanzanians are truly free to exercise their democratic rights, to vote freely and fairly, and to choose their own political party, parliament, and president.
This is no longer a phase or a platform for me. It is a commitment to my native country and to its people.
https://t.co/ncJ7zqkVHt
Nadhani sasa mmethibitisha kuwa Samia Suluhu HATAKI Katiba Mpya na kwa nini Nchimbi alisema “pambanieni Katiba Mpya”
Ndo kilikuwa last straw kimama kikacharuka kuwa lazima atimuliwe
Hakuna kitu wanaogopa kama Katiba na utawala wa sheria hawa wauaji
We have to appreciate Nchimbi ametuonyesha haya sasa kashindwa kuficha huyu kimama🙄
#SamiaMustGo
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 296
Wakili wa Serikali Job Mrema: Kama kuna mgogoro si unatakiwa kwenda Mahakamani?
Mhe. Lissu: Ukiwa ni mgogoro wa kiimani unaenda kanisani na msikitini kutatua. Yakisheria ndio unaenda Mahakamani.
Job Mrema: Unakubaliana na mimi kuwa ulisema majaji hawatendi haki?
Mhe. Lissu: Hilo sio geni amelisema jaji Nyalali, Tume ya Warioba imesema. Hata na kikosi kazi pia kimesema. Hakuna jipya hapo.
Job Mrema: Ulisema Majaji ni Ma CCM na Huko Mahakamani hakuendeki?
Mhe. Lissu: Ndio.
Job Mrema: Kupandikiza wananchi chuki katika mfumo wa utoaji haki ni kosa? This is general question.
Mhe. Lissu: hiyo chuki maana yake nini sasa? Niambie kwanza.
Job Mrema: Kifungu cha 52 cha Media service Act. Kinasemaje na unakionaje?
Mhe. Lissu: Kama ukisababisha chuki, dharau au kutokuridhika na mfumo wa utoaji haki ni nia ya kichochezi.
Job Mrema: ukiwa na nia unakiuka kifungu hicho
Mhe. Lissu: Kwa maana ya kifungu cha 52(2) hukiuki lakini 51(1) C ni sawa.
Job Mrema: Kuhusu Majaji ni ma ccm na mahakamani hakuendeki hiyo statement inakiuka kifungu cha 52(1)
Mhe. Lissu: Sikubaliani na wewe kabisa.
Job Mrema: Kulikuwa na amri ya kuficha mashahidi?
Mhe. Lissu: Ndio
Job Mrema: Hukuchukua hatua.
Mhe. Lissu: Niko gerezani unataka nichukue hatua gani?
Job Mrema: Unawakumbuka mashahidi wa siri?
Mhe. Lissu: Nawakumbukaje wakati nimekwambia siwafahamu? Unawafahamu wewe. Majaji na mimi.
Job Mrema: Ni sahihi kwamba uamuzi wa mashahidi wa vificho hauwezi kuzungumziwa kwenye kesi hii?
Mhe. Lissu: ingekuwa haiwezekani hivyo vizimba hapo visingefumuliwa kipindi kile. Kwani nilipinga kwenye kesi gani ya Bibi yako?
Jaji: Haya tuendelee swali lingine.
Job Mrema: Mheshimiwa tunaendelea.
Jaji Ndunguru: Sasa nyie si mpo wengi hapo Mawakili wa Serikali mwingine aingie haraka aanze kuuliza wakati huyu anatafuta maswali yake.
Watu wanacheka😂😂
Job Mrema: Uliwasilisha chochote kuhusu kupigwa Tar. 11/08/2024 kule Mbeya?
Mhe. Lissu: Nimesema kwa mdomo na ndio maana niliapa kabla ya kutoa ushahidi.
Job mrema: Tar. 23/09/2024 ulivamiwa nyumbani kwako na polisi na hakuna ushahidi wowote ulioleta?
Mhe. Lissu: Nilisema nivamiwa na kukamatwa wakanipeleka mbweni na usiku walinirudisha nyumbani. Ulitaka nilete nini kwenye hayo maneno?
Job Mrema: Ulisema watu 466 ulisema case no zao wale wa Tarime.
Mhe. Lissu: Sikueleza.
Job Mrema: PW1 ulisema alifungua jalada tarehe 04 April
Mhe. Lissu: Nilivyosema mimi au PW 1 mwenyewe ndio alisema.
Job Mrema: PW 1 Kwahiyo umesema ilikuwa ni lazima amwambie DPP kuhusu mashitaka haya?
Mhe. Lissu: Soma kifungu cha 16 na 24 cha National Prosecution Act kinasema makosa ya jinai ni DPP ndio anapaswa ku coordinate ushahidi. Sasa yeye hakufanya hivyo. Hakuwahi kumpa taarifa na alisema hivyo.
Job Mrema: Ni chombo kipi kimepewa mamlaka ya huyu ana hatia na huyu hana hatia?
Mhe. Lissu: Ilikuwaje nyie polisi mseme huyu ni mkosaji wa uhaini hata kabla ya ushauri wa DPP?
Job Mrema: Sasa kama mashitaka yalikosewa unafanya nini?
Mhe. Lissu: Najitetea kwa makosa ya kubambikizwa.
Job Mrema: Mahakama hii imetoa uamuzi kuhusiana na makosa yako?
Mhe. Lissu: Haijatoa.
Job Mrema. Amerudi kwa wenzake wanaongea kama dakika tano hivi. Jaji Ndunguru anawaangalia kwa hasira sana.
Anasimama anasema naomba kuishia hapa nimkaribishe Ajuaye Zengeli.
Ajuaye: Ni sahihi kwamba wakati mnafanya mkutano huo hamkuwa na kibali chochote?
Mhe, Lissu: Hakuna mkutano wa ndani unahitaji kibali. Pia hakuna mkutano wowote wa vyama vya siasa unahitaji kibali unatakiwa kutoa taarifa tu.
Ameingia kilaza mwingine huyu Ajuaye.🚮
Ajuaye: PGO 403
Mhe. Lissu: Soma wewe inasemaje nikujibu swali.
Ajuaye: Basi soma PGO 402
Mhe. Lissu: Inahusu mikutano ya kampeni
Watu wanacheka😂
Ajuaye: Umekielewaje?
Mhe. Lissu: Mambo ya uchaguzi na taratibu za kampeni za uchaguzi
Part 297 itaendelea kwenye post inayofuata
Naomba Repost yako.
Ila NJAA 😂🙌🏿
Yani hata kubadilisha KOFIA yake kashindwa.
Kofia ile ile ya CHAUMA leo anaitumia kupigia press ya kumkanyagia HECHE.
Asante TEKINOLOJIA🙏🏾
🚨‼️STRONG WARNING FROM TANZANIA‼️🚨
The Government of Tanzania, through its Police Force, has officially announced that 36 people have been charged with terrorism.
Terrorism is rising rapidly in Tanzania.
Stay extremely vigilant.
Do not travel to Tanzania.
If you choose to go anyway you do so entirely at your own risk.
https://t.co/bT2xiHr6H2