@DigitalMene@McinikaWaLamar Unyama sana hii! Huwez kuta movie low quality huku! Min quality ni 720P ambayo ndo Standard HD. Downside yake lazima uwe unajua kutumia Torrent clients
@cum_pray@tzrailways Kwamba maboss ndo wanafaa kuongezewa safar tu? Maana hizo safar zilizoongezwa ni za Royal why hakuna ordinary? Rubish! Yani tren inayoondoka tupu almost daily kisa Nauli kubwa ndo inaongezewa Safar...?
@SalimuIbwe Ukiingia Airport au Sgr hawakuchaji gharama ya ziada ila pale Stand hata kama unasafir na ticket unayo bado utalipia kiingilio pia utulipia hadi maliwato! While hizo huduma zote ni bure kwa SGR na Airport
@SalimuIbwe Mi naona ni wahuni tu hao wanaolazimisha abiria kupanda na kushuka mbezi! Watu wanatoela hadi mifano sijui uwanja wa ndege au sgr mbona watu wanaenda! Hiv basi likiingia kituoni lisiposhusha abiria pale serikali inapata hasara gan?
@AliseniC95716@SalimuIbwe Hiv haujui kama Kupanda ndege kwetu ni Anasa wala sio basic need kwa most of watanzania? Angalia nauli za ndege then compare na basi!
@millardayo Ile petrol station ya pale Kimara Suka sijui Temboni mbona imejengwa kweny Road reserve tena Juz tu baada ya watu kuvunjiwa nyumba zao? Au sio hifadhi ya barabara ile?