@444holywitch Haya mambo bwana japo si wote lakin jamii zetu wengi tupo na wazazi ambao walikuwa na Iman tofauti hivyo kama sio mtoto wa mjomba bas shangazi ni mkristo Kwa muislam huwez acha kula pilau iwe iddi au Christmas.
@la_kapitan@ReganTesla_ Nakumbuka nikiwa shule ya msingi nimefuga sana samaki wa urembo na nilikuwa najipatia pesa bi mkubwa alikuwa anatunza inafika had ya kiatu, ilikuwa naenda kuchezea ball nafuatwa naambiwa Kuna wateja wamekuja
@Makaveli_255@qadertz@SambaDominick Ushaona sasa kwanin hatuwez wew umekuja na wazo la kijana anayeamua kukutafuta na huo mtaji mtu anakurupuka na maelezo ya mamilion huyu kama unamfuata na hilo wazo hiyo pesa unaenda kununua IST unafungua dukan jeans uendelee kuwa maskini wenye furaha
@Makaveli_255 Kuna majaa yanalalamika ilhali ukienda kununua kitu Kwa duka lake anakuwa bize na simu kuliko kutoa huduma acha wachina watufunze ni vipi biashara inafanywa