@ridhiwankikwete Tusaidieni na 2022 july 1 tupandishwe daraja mwaka huu. Naona waraka unaofa wale wa mwisho june 30 wakati watu walilipoti june 25, 2022 lakini wafunga mkataba wakaandika July 1
@CwcChampion Sasa kama malengo yake ni kulala na wanawake wengi huoni kama yupo katika mchakato wa kuhakikisha ndoto yake inatimia? Maana tunatofautiana malengo. Malengo ya mtu yaheshimiwe
@MarekaMalili Ili uwe tajiri cha kwanza ni uwe na uhakika wa kula alafu mengine hufuata. Huwezi waza kuwaza real estate hujala. Ndiyo Tunaanza na physical needs na Kisha biological, security na mengine hufuata
@HusseinBashe Bashe wewe nilishaleta jambo kuhusu magugu yanayoangamiza mazao ya mahindi, mihogo na mtama kwa kigoma na kagera kwa wilaya za kakonko na bihalamuro lakini kimya. Magugu yanaitwa KIDUHA. Yakiota shambani hakuna unachovuna. Tunaomba ufumbuzi wa hili tatizo
@bajabiri Kama hujajipata unakuwa huna kazi ya kufanya ndiyo maana unakuwa available. Hii hufanya mtu kupokea kila simu na kupiga kila missed call anayokuta akiamini huenda akapata mchongo.