@Jambotv_ Mnatengeneza kesi mbaya kuhalalisha kuwashikilia muda mrefu kabla ya kuwapeleka mahakamani. Wengi wameshikiliws siku 20 kabla ya kukubali kuwa mko nao. Walipienda mahakamani mkabadilisha charge ili kuhalalisha kuendelea kuwashikilia. Huu ni uhuni wa kitoto. Acheni ushenzi wenu
Kiongozi wetu na Mwenyekiti wetu alikamatwa akiwa mzima,
Taarifa Kama hizi za kuhusu kujaribu kucheza na maisha yake hazitakubalika.
Serikali hii dhalimu inapaswa kumuachia Lissu haraka.
Sisi Tunafuatilia kila kitu na hakuna taarifa hata moja tunaipuuza.
#freetundulissunow
@royalmediatz Watu hawana jema. Mtu kawapa code hata kufungua hamuwezi? Nchimbi ni mwama siasa mzoefu na mwanadilplimasia. Wenye D mbili wameelewa kuwa humo ndani ya CCM kuna mtu mwenye uamuzi wa mwisho anagomea bado kuanza mchakato. Kina Nchimbi japo wanaweza kuwa na nia, ni washahuri tu.
Asanteni Watanzania kwa mwitikio wenu mkubwa. Imebaki TSh. Milioni 5.5 pekee tufikishe Milioni 234, kisha tuanze safari ya kukusanya Milioni 100 zilizobaki ili kutimiza lengo la TSh. Milioni 334 kwa ajili ya Baraza Kuu la Umma.
CHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Bado tunalaani kitendo cha watawala kubabikizia watu wasio na hatia kesi za ugaidi
Hiki kitendo kinalichafua Taifa letu huko nje
Katibu kanda Mungu akulinde huko gerezan walikokuweka
Unalipa gharama ya katiba mpya,tume huru na free Tundu Lisu
Free Mnyawami sio gaidi
"Nchimbi anasema Samia anataka Katiba lakini wakati huohuo anatuambia tukomae tupate katiba, sasa maana yake ni nini? Kama hakuna anayezuia si inatakiwa iwe yenyewe tu bila kukomaa!" ~ Heche
The life of Tundu Lisu is in danger. Samia has the same plan to kill Tundu Lisu by any means at any cost. We urge the international and local communities to intervene in this.
@amnesty@WLCongress@SADC_News@SenateForeign
@EduTalkTz Polepole alifanywa nini alipoanza kuongea! Kheri hata Lissu tunajua alipo - Polepole wamempoteza kabisa! So tusione kama vile kuna ambaye ana kinga inapokuja kugusa maslahi ya hawa mashetani
Wakili wa Kujitegemea Peter Madeleka @PMadeleka ametangaza rasmi kuachana na siasa za Chama cha ACT Wazalendo @ACTwazalendo, kuanzia leo, Jumapili Julai 26.2026
Kupitia chapisho aliloweka kwenye mitandao yake binafsi ya kijamii leo, Wakili Madeleka amesema amefikia maamuzi hayo ili apate muda wa kutosha kuungana na wapenda haki wote katika kupigania haki na ustawi wa Nchi kwa ujumla wake
"Leo tarehe 26 Julai 2026 mimi Peter Madeleka natangaza rasmi kuachana na siasa za ACT Wazalendo, nafanya hivyo ili nipate muda wa kutosha kuungana na wapenda haki wote katika kupigania haki na ustawi wa Nchi yetu, Tanzania yenye haki inawezekana kama kila mtu atatimiza wajibu wake" -Wakili Madeleka
Ikumbukwe kuwa, hadi anatangaza maamuzi hayo ya kung'atuka ndani ya ACT Wazalendo, Wakili Madeleka alikuwa Waziri Kivuli wa Sheria na Katiba wa chama hicho
Sambamba na hilo, katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Nchini Oktoba 2025, Wakili Madeleka alipeperusha bendera ya ACT Wazalendo katika uchaguzi huo, kama mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Kivule, Dar es Salaam,
Wakili Peter Madeleka alijiunga na Chama cha ACT Wazalendo akitokea kwenye Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA @ChademaTZ2), ambapo alikuwa mwanachama na mfuasi wa chama hicho kwa muda mrefu.
URGENT: TUNDU LISSU’S LIFE IS IN DANGER
Credible information indicates that Tundu Lissu’s life is at serious risk.
For more than 470 days, Tundu Lissu has been held in detention in Tanzania as an unconvicted prisoner, without a fair and timely resolution of his case.
His continued detention has drawn widespread international condemnation:
1. Amnesty International has declared his arrest unjust and called for his immediate release.
2. The UN Working Group on Arbitrary Detention has concluded that his detention is arbitrary.
3. On 10 July 2026, the Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) called on the Government of Tanzania to resolve his detention within 30 days.
For more than two decades, Tundu Lissu has faced relentless persecution for his peaceful advocacy for democracy, the rule of law, and the protection of fundamental freedoms in Tanzania. In 2017, he narrowly survived an assassination attempt after being shot multiple times.
The Tanzanian authorities bear full responsibility for Tundu Lissu’s safety, health, and life.
Protect Tundu Lissu.
The world is watching.
—Admin
‼️🚨This alert needs to be taken VERY seriously!‼️
Tundu Lissu is held in remand for over one year on trumped up charges by Samia Suluhu! She is now stuck knowing fully well that the fake trial has collapsed but also being aware that she is highly unpopular while Tundu towers over her in national popularity and political stardom. So she doesn’t want to release him
The most convenient soution for her evil mind is to “get rid of him once and for all”
She has ordered the massacre of thousands, she will not hesitate to order the murder of anyone! Let us increase pressure and raise our voices!
#FreeTunduLissuNow
Tumepokea taarifa mbaya kuwa adui anahitaji roho yako. Lakini, tunasadiki, adui anaweza kuwa na maneno ya kwanza; ila neno la mwisho ni la Mungu. Mungu aliyekutetea hadi leo akufunike kwa mbawa zake, uwe salama, udumu na ulione kusudi lake. Stay safe, Tundu Lissu.
Hakuna maridhiano baada ya uchaguzi
Maridhiano ni kabla ya uchaguzi, baada ya uchaguzi ni uwajibikaji
-Humphrey Polepole alitoa huu ujumbe wa mwisho masaa machache kabla ya kutekwa!
Na sisi tunashikilia hapohapo!
#FreePolepole#SamiaMustGo
#TANZANIA: LISSU ALIKAMATWA MBINGA, POLEPOLE WAKATI WOTE ALIKUWA SALAMA, ALIPOANZA KUMKOSOA RAIS SAMIA, HAJULIKANI ALIPO MPAKA SASA - HECHE
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani siku chache baadae 'alimbambikia' kesi Mwenyekiti wao wa CHADEMA Taifa wa zamani, Freeman Mbowe lakini Freeman alipoachiwa akatoka gerezani mpaka Ikulu, "gaidi anatoka gerezani anaenda Ikulu!"
Heche amesema Polepole alipokuwa CCM na Balozi alikuwa salama lakini tu alipoanza kumkosoa Rais Samia Suluhu, Polepole hajulikani alipo mpaka sasa.
Aidha, Heche amezungumzia vijana wa Chuo waliokamatwa maeneo mbali mbali na kupewa kesi ya ugaidi amesema wameteswa na kuumizwa vibaya wakilazimishwa kusema Heche ndiye aliyewatuma na aliwapa milioni sitini.
Zaidi: https://t.co/AQX5r1i3H0