@WemaKako@GloryPeter2017 Unajua sioni tofauti na Lipumba akikuta watu wana shida ya maji akaagiza katibu wake wa chama atoe fedha kuwapelekea maji.
Wagombea uraisi wote wana haki sawa sijui tatizo liko wapi!
@Jacque043 @rollymsouth Yule dada alienda mbali sana kwa kusema humuoni barabara zilivyojengwa na vituo vya mabasi si vimejengwa kwani lazima upande ndege!
@HamadHamis @Archduke50@cw_pedro@freemanmbowetz@TunduALissu Kuna watu wanataka kupotosha wananchi kuhusu muungano katika wagombea wote wa uraisi hakuna hata mmoja aliyezungumzia kuvunja muungano hakuna kabisa tusitake kupotosha wananchi.
@NKIPANGULA Hivi ni wapi Lissu alizungumzia kuvunja muungano?
Huu ni upotoshaji mkubwa lakini sisi tunafualitilia mikutano yote ya kampeni sijasikia mgombea uraisi yoyote anazungumzia kuvunja muungano.