Updates ya mchango wa mjane wa marehemu #chacha isangora
Mpaka leo wasamaria wamechangia tsh 1.7 m kwa mwanga huu na ombi la mjane kuezekewa nyumba yake tunaomba kuongeza nguvu zaidi tufikie lengo la budget 3.8m
Tarehe 23/12/2020 iwe siku ya kukabidhi
Amen
Happy birthday superwoman @MariaSTsehai#shangazi#fighter Mungu akupe nini zaidi ya Maisha kedekede maana Watanzania tunakuhitaji wewe ni zaidi ya Kigwaboy! Kama 10 hivi.
@HecheJohn Inasikitisha sana kuona hili watu mnashangaa mawazo mbalimbali ni vyema. Je, vipi mstakabali wa maisha ya hao watoto wadogo kielimu kwa baadae? Ni nani atawasimamia oli wapate haki yao ya msingi kielimu? Tutafakari hilo pia๐๐๐๐๐
Mtu anakuambia 'achana na siasa tafuta hela' Hivi mpaka leo hatujui hatma ya maisha ya wananchi inaamuliwa na wanasiasa? Kwamba nani apate na nani asipate? Unaweza ukapata wakaja wakakuundia zengwe ukapoteza zote ukaanza upya. Ndio maana tunawaona matajiri wakiilamba miguu serkal
Mwanafunzi akiosha embe kwenye maji machafu yanayotiririka katika mtaro uliopo viwanja vya Furahisha jijini Mwanza jana, jambo ambalo ni hatari kwa afya yake.
Picha na Mgongo Kaitira
#MwananchiUpdates
Taarifa za ndani kutoka TISS
๐ Wanajeshi wa Burundi walioletwa na kupelekwa Zanzibar jumla yao waliokuwa warundi 300 na kila mmoja alikuwa analipwa sh 1,200,000/= TZS kwa siku na contract yao ni siku 28 kwa serikali ya Meko imelipa 10,080,000,000/= TZS( 10bn)
Huyo ndiyo Meko
1.Enemy of girl's education
2.Enemy of free speech
3.Enemy of the press
4.Corrupt. Buys & bribes politicians
5.Jails opposition leaders & critics
6.Kills opponents & critics
7.Lawbreaker. Defies the constitution
8.Kidnapping & extortion
9.Rules by decree
Mnafiki Magufuli Pombe