@IAMartin_ @Mwanahalisitz Katiba ya ccm ndio iliyo zaa katiba ya jamhuri ya muungano,katiba ya ccm ndio iliyo zaa katiba shirikisho la soka Tanzania,katiba ya ccm ndio iliyo zaa katiba ya bakwata,katiba ya ccm ndio iliyo zaa katiba ya yanga,katiba ya ccm ndio iliyo zaa katiba ya vyama vya ushirika.
KATIBA MPYA NDIO KILA KITU YANI KATIBA MPYA ITAMFANYA MWALIMU YEYOTE YULE TANZANIA APOKEE MSHAHARA MKUBWA KULIKO MBUNGE sisi sote tuliosoma na kupata kazi hakuna ambaye hajapitia kwa mwalimu hapa posho ya siku mbili ya wabunge mshahara was mwezi naa wa mwalim
KATIBA MPYA NDIO KILA KITU YANI
KWA CCM HII WATU WALEWALE HATUFIKI POPOTE PALE MIAKA ZAIDI YA 60 SASA NI MAUJINGA TU ETI WADAU NNA KASWALI HAPA,ripoti ya BOT inamgusa mfugale je hawajamuua kwa nyundo kweli huyu?
@Herculses@freemanmbowetz Ujumbe murua kabisa yani KATIBA MPYA NDIO KILA KITU ILE YA CCM NI YA KUCHAMBIA TUU,Ttakuwa na uwezo wa kuwaadabisha hawa MAKIMA
@HildaNewton21@SuluhuSamia Ameamua kuwahifadhi vibaka, hiki chama kinashida sana ni Basi tu. Mungu akipenda ashushe ghalika KILA mwenye kadi ya ccm apigwe moto tuanze upya kujenga hii nchi Hawa hawana jipya la kufanya ndani ya nchi hii ni porojo tu
"Mimi kama kijana kwenye taifa hili nina jukumu la kuacha alama,na alama hiyo sijaiona kama Katiba Mpya haitapatikana wala Tume Huru ya Uchaguzi"Mdude Nyangali.
Pamoja na mateso yote ya Meko na CCM lakini @ChademaTz wana hamasa na sura za furaha sana!
Hii ndiyo maana halisi ya kujenga misingi na kuwa na chama ambavhi ni taasisi na siyo udalali wa kisiasa! ✌️✌️
#KatibaMpyaMovement
“Madhara yake,. Hata wawekezaji hawawezi kukuamini kwa sababu hawajui kesho utaamua Nini? Usalama wa mitaji huletwa na sheria siyo matamshi wala ahadi. "Kuweka nchi sawa kwanza" ni Kazi isiyoisha na ni ya kila siku.” Askofu Bagonza #HekimaZaBagonza#KatibaMpya#ChangeTanzania