LISSU: WAMESEMA KUHUSU UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA HAUkuwa HURU NA WA HAKI?
MNYIKA: KUNA RIPOTI ZIMESEMA, IKIWEMO COMMONWEALTH.
KATUGA: HIZO RIPOTI NAZIOGOPA, ASIENDE HUKO, HAKUZITAJA.
LISSU: SASA RIPOTI ZINAWAPA PRESHA, USIENDE HUKO.
KATUGA: SIO PRESHA TU, ZINANIPA KISUKARI.
Mnyika kuna kauli kaongea mahakamani kuhusu Nyerere kauli ile watu wa Law tunaita Seditious statement. Mnyika amesema kwamba Niliwahi kumsikia Mwalimu Nyerere akisema vijana wanapaswa kuwa waasi dhidi ya mifumo kandamizi lakini sikuwahi kusikia amekamatwa kwa kauli hiyo.🔥
TUSUBIRI masaa 48 ambayo CCM wana NEC ya Dharura Dodoma. Kama ninachoambiwa ndicho basi yale ya Abdu Jumbe YANAWEZA Kujirudia endapo Chama kitaazimia Nchimbi ajiuzulu!
Wafuasi wa MBOGAMBOGA wenyewe wamechanganyikiwa kama raia wengine tu. Hata wao hwaelewi mambo yanayotokea. Wanashangaa mtandaoni tu. Mambo ni mzobe mzobe. Ipo hivi, hamuwezi kuua watu wengi kwa kiwango kile halafu mkatawala watu kwa amani na utulivu. Damu za watu zitawatesa sana.
Mbowe aliachiwa huru Saa sita usiku, kisha badae akakwea zake pipa pale Songwe akaenda zake Kula bata Dar,
Mdude alibaki akiteswa na polisi.
Mbowe umejua kutuumiza qmmk