@Makaveli_255 Ahaa je nikiwa na Tsh.1,300,000 nikasema ndani ya mwezi nakuwa nishalipa deni hapo imekaaaje?? Maana nina 13 plain lakini kioo changamoto imekreki kidogo msaada wako katika hilo
@shaks_prince @Einstein7722 @kecy280 Nilimkumbuka ika nilimuuliza akakataa katakata akasema sio yeye ila kuja kuangalia kwny daftar la kupiga sign akasema alikuwa yeye ila aliambiwa kwa wakat ule asimwambie mtu kuwa ni yeye
@shaks_prince @Einstein7722 @kecy280 Wakat wa kwenda ikulu ulimsahau??
Mimi kuna mtu nilikuwa naye sehem moja miaka mingi sana kuna siku akaenda sehem akakataa kuwa sio yeye ila mwisho wa siku nikaona jina lake akaja sema walimpa jina bandia
@capoconz@azamtvtz@fbuyobe@AAnatory Hahahah hatari sana aise sasa wakabaji wanakazi sana unapishana nae usiku unasema huyu mtu ngojea nimkabe kumbe unaingia chaka aise