WaCongo, Zimbabwe, Zambia na Malawi, wameanza kusonga China wenyewe mzigo wao now unapita tuu hapa.
Nafikiri tumechelewa kuikuza Dar ilifaa iwe kama duka la EAC mzigo uwe kitonga kuliko mtu kwenda China.
Soon kariakoo itabaki kwa watu wa mikaoni, au watu wa Dar kufanya shopping
Kuna kusoma vitabu ili umalize, na kusoma vitabu ili uelewe, ujifunze, na kuyafanya mafunzo hayo yawe ndio muongozo wa maisha yako.
Ni bora usome kitabu kimoja mwaka mzima, kitakachokufanya uelimike na kubadilika, kuliko kusoma vitabu 10 ambavyo havikusaidii.
@BarakaMaviatu Panatakiwa kupangwa, pale Jangwan mto ujengewe alaf pajengwe parking kubwa za kutosha wasiotaka kuingia na gar kkoo wapark pale then wapande mwendokasi kuingia mjin... Eneo la jangwani njia kama unaenda kigogo zijengwe ofsi safi za transportation /cargo
sasa mkutano ni kuhusu kuvisema vyombo vya habari vya nje, kwa nini serikali inazungumza na vyombo vya habari vya ndani? kwa nini msiviite vyombo vya habari vya nje muongee navyo? mna-address the wrong audience 'cuz mnajua hamuwezi kui-address the target audience? hamna akili!